Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Hao waliokubari kuajiliwa na wewe yaonekana bila wewe walikuwa wanafirika mjini. Maana siamini mtu mwenye akili timanu anaweza kukubali kuajiliwa na kiazi kama wewe.
Sio lazima mtu utoe matusi hapa ni sehemu ya kujadiliana na kubadilisha mawazo, mtu akitukana ujue ameshindwa so anatafuta neno ili limuumize anayemtukana yeye anayetusi apate kujifariji
 
Jamani kila mtu ana strategy zake katika kupambana na maisha..mnaposema Lemutuz anajipendekeza kwa watu ili wampe deal sio mbaya so long he is achieving his mission na ndo maana katuonesha ofisi yake ikiwa mjini posta...how many of us can afford to have such office with that location...let call spade a spade he has made it congrats to u bro..badala ya matusi let us take this as challenge na sisi tufikie Malengo ndio maana panaitwa Jf critical thinkers..tuache ku critisize vitu visivyo na msingi...#nawazatuu
 
Tafuta kazi ya kufanya kubwa zima unaajiliwa na huyu mgonjwa wa stress?
 
Wewe mwenye fact na evidence za Basata ziko wapi zaidi ya kujambajamba tu? Wakongwe wote wa JF wanakujuwa danganya watoto waliojiunga juzi.

- Basata ningekuwa nawasingizia wangeshanishitaki, Majaji 3 wa KTMA walikuwa ni Compromise wa Ali Kiba nimesema na nimewataja kwa majina hakuna aliyebisha na hata wao niliowataja hakuna aliyejitokeza kubisha, Majina ya majajji yalikuwa siri WHY? Sasa kwenye Majaji 3 wa Kiba ulitegemea Dimaond angepata nini zaidi ya yaliyotokea, wewe wacha ujinga Basata wanayo habari na habari yao inakuja very soon kwani wao nani mpaka wote tukae kimyaa kuwaruhusu wavuruge vipaji vya Wasanii wetu?

- I mean katika Basata ya sasa nitajie nani mwenye ujuzi wa Usanii wowote zaidi tu ya wananchi tu wa kawaida? Huku umegusa kwingine kabisa so relax sema mengine ok haya wachana nayo ni ngoma kubwa ambayo soon majibu yake yanakuja!1

Le Mutuz
 
Sio lazima mtu utoe matusi hapa ni sehemu ya kujadiliana na kubadilisha mawazo, mtu akitukana ujue ameshindwa so anatafuta neno ili limuumize anayemtukana yeye anayetusi apate kujifariji

- hahahahaha sasa kinachochekesha ni mtu mwenyewe wanayemtukana mimi hahahahaha ndio maana ninasema hawa huwa wanakuja hapa kutangaza biashara zao tu hawana lolote hahahahahaha

Le Mutuz
 
Jamani kila mtu ana strategy zake katika kupambana na maisha..mnaposema Lemutuz anajipendekeza kwa watu ili wampe deal sio mbaya so long he is achieving his mission na ndo maana katuonesha ofisi yake ikiwa mjini posta...how many of us can afford to have such office with that location...let call spade a spade he has made it congrats to u bro..badala ya matusi let us take this as challenge na sisi tufikie Malengo ndio maana panaitwa Jf critical thinkers..tuache ku critisize vitu visivyo na msingi...#nawazatuu

- hahahaha mkuu wangu please usiumize kichwa na hawa mburulaazzz mimi nawapenda sana cause they always dance to my musici bila kujua na huwa sipendi kuwaamsha usingizi wao, mimi ninafanya mambo yangu at Social MEdia kwa malengo na faida kwangu wao wanaruka ruka tu kwenye musici wasioujua inaitwa wajinga ndio waliwao hahahahahaha niavchie hawa usiwe na wasi wasi!!

Le Mutuz
 
- Basata ningekuwa nawasingizia wangeshanishitaki, Majaji 3 wa KTMA walikuwa ni Compromise wa Ali Kiba nimesema na nimewataja kwa majina hakuna aliyebisha na hata wao niliowataja hakuna aliyejitokeza kubisha, Majina ya majajji yalikuwa siri WHY? Sasa kwenye Majaji 3 wa Kiba ulitegemea Dimaond angepata nini zaidi ya yaliyotokea, wewe wacha ujinga Basata wanayo habari na habari yao inakuja very soon kwani wao nani mpaka wote tukae kimyaa kuwaruhusu wavuruge vipaji vya Wasanii wetu?

- I mean katika Basata ya sasa nitajie nani mwenye ujuzi wa Usanii wowote zaidi tu ya wananchi tu wa kawaida? Huku umegusa kwingine kabisa so relax sema mengine ok haya wachana nayo ni ngoma kubwa ambayo soon majibu yake yanakuja!1

Le Mutuz

Kubwa zima unakuwa mpambe wa Diamond hovyooooooo.
 
Jamani kila mtu ana strategy zake katika kupambana na maisha..mnaposema Lemutuz anajipendekeza kwa watu ili wampe deal sio mbaya so long he is achieving his mission na ndo maana katuonesha ofisi yake ikiwa mjini posta...how many of us can afford to have such office with that location...let call spade a spade he has made it congrats to u bro..badala ya matusi let us take this as challenge na sisi tufikie Malengo ndio maana panaitwa Jf critical thinkers..tuache ku critisize vitu visivyo na msingi...#nawazatuu

Unafahamu Masogange alivyokamatwa na madawa ya kulevya ni kina ndio waluomsindikiza JK international airport? Wacha kurukia usiyoyajuwa usidhani kila ofisi inalipiwa na biashara unayoijuwa wewe, biashara nyingi za mjini ni cover tu zuzu wewe.
 
- Jana nilikuwa kwenye interview ya Mliman TV moja ya swali waliloniuliza ni tunakuona sana JF ukikata ishus na ni moja ya sababu iliyotufanya tukuite hapa, now wewe atakuita nani kwenye National TV na majina yako ya bandia? hahahahahaha akili ndogo leo nitawapa darasa mpaka muelewe kwamba mimi sina ufinyu wa akili kama zenu shallow, watu mpo wengi lakini hamuwezi kunishinda mtu mmoja cause combine akili yenu ni kidogo sana U know hahahahahahah

Le Mutuz

Hiyo si kweli kabisa lemutuz.. mtu anaweza kuwa na jina bandia na akajizolea umaarufu kutokana na kutumia muda mwingi kupoteza muda kuchangia mada JF. Apparently wewe umaarufu wako unatokana na mshangao wa jina la Ukoo wako. Kwamba mtu kama wewe wa age yako mtoto wa kiongozi maarufu unaganga njaa mitandaoni kujibishana hoja dhaifu na ghosts. Wengine humu ndani unawaona akili ndogo pengine ni watu wazito tuu wanakuchora. Muulize Mwakyembe watu waliomchafua mitandaoni ni nani. Alafu huwezi kujiita akili kubwa wakati kiblogu chako cha kichovu kimejaa habari za kukopi na kupaste kutoka blogu za watu wenye akili kama globalpublishers n.k ambao wana post origional reports walizozifanyia kazi. sijui hata hao wanaokulipa wewe kwa kukaa online kukopi / paste ushuzi wanakuonea haya tuu kwa jinsi unavyowashobokea na kujikomba kwao, au labda jina la ukoo au mambo ya chama sijui sipati picha.
Najua unatafuta umaarufu ili upate shavu lakini usipitilize ukawa kama kituko kama kina bruce jenner na makadarshians ambao hawana talent yoyote but wanatafuta umaarufu kwa kujidhalilisha ili tuu wapate hela.
 
Mkuu mimi ndio maana licha ya kumpinga Majid Mjengwa kwa unafki wake lakini kiukweli blog yake ndio huwa natembelea maana siyo ya copy and paste yule anakwenda field mwenyewe, siyo hawa viblock uchwara mtaji laptop, modem, camera na smartphone ujinga mtupu kila mtu anaweza kuwa bloger lakini blog ni habari nyingine siyo hizi za kina Le mtumbozi.
 
Lemutuz aka kubwa jinga

Kuwa na kampuni ya wafanyakazi watano, kuwa na ofisi downtown na kuwa na acc ya insta inayokupa vicent na pia kuwa na kablog uchwara hakuendani kabisa na hadhi yako unayojisifia unayo
AKILI KUBWA NA DIGIRII TATU

Watu batupendi tu kujitangaza mali zetu wala tunavyo miliki, lakini nikwambie tu kwa umri wako wa miaka zaidi ya hamsini ni sawa na kufaleli maisha kama hivyo ulivyotaja ndio vyanzo vyako vya income pamoja na degirii zako tatu na exposure ya kuishi mbelez

Nina miaka 24 tu but sor far kwa huo "utajiri" wako nakuona pimbi tu
Umri wote huo eti bado unapigania utoke vipi kwa kutukanana na watu kwenye media kupata hela?

Umechezea ujana wako unaruka ruka tu na ngebe nyingi kwa maid fake kwenye social media kumbe ulikua kilaza tu
Umri wako wewe sio wakukaa unasifia vitoto kama akina Diamond na wengine kwaita eti super bilionea wakati we kapuku tu

Tambua upo kwenye fainal mkuu ujana wako wote umeshindwa kutafuta pesa za maana unadhani utakuja kuzipati instagram?

Uli wahi kuambiwa una influence kubwa na ukitaka kuitumia kwenye siasa ukafeli sasa itumie kutafuta hela ya maana na si vilaki laki vya kutukanana na watoto insatagram

Sheria ya maisha inasema kama baba yako alikua na influence kwenye mafanikio basi watoto wananafasi kubwa kuendeleza iwapo wana akili, lakini wewe masikini ni kalaghabaho
Leo hii usitegemee watoto wa obama au bill clinto kuwa vilaza
Angalia watoto wanye baba kama wewe ndio utajitambua ni kilaza kisasi gani
 
- Haya ni maneno ya hsetani huwa siyasikilizi hao watoto wa baba kama mimi wote hawana Radio wala TV Stations, wanfanya yao na mimi nafanya yangu I am on a right track, nimeeenda majuu nimejisomesha mwenyewe Degree 3 na sasa ninazifanyia kazi hapa bongo and I am ok, wewe sio mimi mimi ni Celebrity nimefikia mahali pa ninaalikwa ninalipwa just my appearance ndio maisha niliyoyachagua na ninayaweza and I am fine, hayo unayoyasema sijayafanya yafanye wewe mimi siyahitaji kabisa hahahahahaha

- I love my super life I am proud na biashara zangu na I am proud to be here where I am sio Wabongo wote Millioni 44 wanaishi maisha mazuri kama ninayoishi nakushauri tu kwamba ushauri wako utumie ukusidiie mwenyewe mimi I am fine, sasa hivi nakuja na African Swahili Media Company Ltd, leseni ninayo tayari na vifaa vimeshawasili from Italy, tunamalizia ujenzi wa Studios ndio utaelewa ninachosema na ndio maana maneno kama yako wala hata siwezi kuyasoma yote ni ujinga at best baki nayo, hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
Hiyo si kweli kabisa lemutuz.. mtu anaweza kuwa na jina bandia na akajizolea umaarufu kutokana na kutumia muda mwingi kupoteza muda kuchangia mada JF. Apparently wewe umaarufu wako unatokana na mshangao wa jina la Ukoo wako. Kwamba mtu kama wewe wa age yako mtoto wa kiongozi maarufu unaganga njaa mitandaoni kujibishana hoja dhaifu na ghosts. Wengine humu ndani unawaona akili ndogo pengine ni watu wazito tuu wanakuchora. Muulize Mwakyembe watu waliomchafua mitandaoni ni nani. Alafu huwezi kujiita akili kubwa wakati kiblogu chako cha kichovu kimejaa habari za kukopi na kupaste kutoka blogu za watu wenye akili kama globalpublishers n.k ambao wana post origional reports walizozifanyia kazi. sijui hata hao wanaokulipa wewe kwa kukaa online kukopi / paste ushuzi wanakuonea haya tuu kwa jinsi unavyowashobokea na kujikomba kwao, au labda jina la ukoo au mambo ya chama sijui sipati picha.
Najua unatafuta umaarufu ili upate shavu lakini usipitilize ukawa kama kituko kama kina bruce jenner na makadarshians ambao hawana talent yoyote but wanatafuta umaarufu kwa kujidhalilisha ili tuu wapate hela.

- hahahahahaha kelele za mlango nimeshindwa kusoma mpaka mwisho na wewe unatetea kuwa watu wenye akili sana wanatumia majina ya bandia kutoa maoni yao? hahahahahaha too shallow for me hata siwezi kusoma mpaka mwisho

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom