William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Mkuu mimi ndio maana licha ya kumpinga Majid Mjengwa kwa unafki wake lakini kiukweli blog yake ndio huwa natembelea maana siyo ya copy and paste yule anakwenda field mwenyewe, siyo hawa viblock uchwara mtaji laptop, modem, camera na smartphone ujinga mtupu kila mtu anaweza kuwa bloger lakini blog ni habari nyingine siyo hizi za kina Le mtumbozi.
- Tumia akili what matters about blog ni how much you make pout of it sio anything else, Vodacoma au Airtel hawawezi kuwekeza kwenye blog uchwara, uliza vizuri how is this game played pole sana hahahahahahaha kajipange tena!1
Le Mutuz