Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Hivi lemutuz umewahi kujiuliza siku ukifa waombolezaji watakuwa wanaongea maneno gani msibani kuhusu marehemu? Hahahahaha au kwenye social media watu wataandika nini kuhusu wewe???

- hahahaha ungeanza kujiuliza wewe kwanza utaandikwa nini baba mwenye jina la bandia JF au what? hahjahahahahah

Le Mutuz
 
- Well hizi ni chuki tu pole sana ila wrong number makosa kwenye habari ni kawaida sana, hata hapa JF huwa kuna habari nyingi zinakosewa zinarekebishwa so relax huna hoja!!

Le Mutuz

Mbona neno chuki unalirudia sana?Kwa wanasaikolojia wanajua mtu wa Aina gani anapenda kuhisi anachukiwa!Swali ni je kwenye ile sheria yetu usingetiwa hatiani?acha kuruka ruka
 
- Ina maana wewe ni kijana mdogo sana mwenye akili nyingi na nzuri sana lakini kumbe unaingia kwa mwenye blog ya mtu kama mimi asiye na akili na mwenye umri mkubwa kuliko wewe? that is wasap maaan hahahahahahahahah

Le Mutuz

Nakupenda mpaka naumwa you know.......

BTW kwanini uliniblock... kuguna tu ndio uniblock
 
Mbona neno chuki unalirudia sana?Kwa wanasaikolojia wanajua mtu wa Aina gani anapenda kuhisi anachukiwa!Swali ni je kwenye ile sheria yetu usingetiwa hatiani?acha kuruka ruka

- HAHAHA mkuu mimi sichukiwi na AKILI KUBWAZZ ninachukiwa na AKILI NDOGO wasiojitambua sifanyi biashara zangu na akili ndogo, wewe ni akili ndogo sana ningekuwa nahisi nachukiwa ningejitoa kwenye Social Media ninalipwa kwenda kwenye events kwa sababu ya my presence at the Social Media so take that back, kama una tatizo na sheria itumie mimi nikiwa na tatizo ninaitumia hahahahahaha

Le Mutuz
 
- Nilikukuta umeandika lugha mbovu mahali pengine nikaku block ndio maana yake

Le Mutuz

Sasa ukimblock unampunguzia nini? Sana sana ni faida kwake asipate muda wa kusoma pumba zako tu unazoropoka huko na wajinga wajinga wenzako wa Insta.
 
- Nilijua kuwa huuwezi huu mjadala ulizana vizuri sasa tayari umeishiwa hahahahahahahaha sasa kwa nini huwa mnanichokoza na huku mnajua kwamba hamuezi debate na AKILI KUBWAZZZZ U know hahahahaha

Le Mutuz

Ohooo sory akili kubwa hapo iko wapi? Nimeuliza tu le mutuz ni jina lako? Ww ndo huwezi huu mjadala ndg, maana ulikua unaongelea fake ID,
 
Nimeshangaa sana maana huu mjadala ulikua unahusu michango ya harusi lakini umebadilika na kua between le mutuz.vs other people!! Anyway mie leo ndo nimemuunga mkono kidogo le mutuz , michango ya harusi haipo kwenye budget zangu kabisa, kuoa aoe yeye zigo warushiwe wengine "WHY?????
 
Kuchangia harusi ni jambo la hiari,sioni sababu kwanini tuelewane tofauti na kuwekeana mabifu yasiyo na maana
 
Sasa ukimblock unampunguzia nini? Sana sana ni faida kwake asipate muda wa kusoma pumba zako tu unazoropoka huko na wajinga wajinga wenzako wa Insta.

- Sasa ungemuuliza kwa nini ameuliza nina followers 82,000 hivi kweli unadhani nakuhitaji wewe wala yeye? puhhh hahahahahahah

Le Mutuz
 
Nimeshangaa sana maana huu mjadala ulikua unahusu michango ya harusi lakini umebadilika na kua between le mutuz.vs other people!! Anyway mie leo ndo nimemuunga mkono kidogo le mutuz , michango ya harusi haipo kwenye budget zangu kabisa, kuoa aoe yeye zigo warushiwe wengine "WHY?????

- hahahahaha U know I love this hata jana kwenye National TV waliniuliza kwa nini unawajibu nikawaambia ni kwa sababu ni mburulazzz crying for help, binadam ana njia nyingi za kuomba msaada wa elimu sasa ukinyamaza utaacha watu watakuwa wajinga zaidi hapa ndio ninawajibu maana hata ukiwasoma unaona kabisa ni mburulazzz empty brain so nonawasomesha and I love it maana kila jina langu likitajwa hapa ni page 10 it is good for my Social Media business si unajua ni The King of Social Media in bongo? hahahahahaha U know

Le Mutuz
 
- Kama ni ukweli unatakiwa umsaidie mwenyewe to me ni pure nonsense, angalau angesema yeye ana maisha bora kuliko mimi yeye anataja marafiki zangu ambao ninashirikiana nao kwa karibu sana na kila siku, hapa mjini mtu akidhani wewe sio level yake hawezi kujishirikisha na wewe now hao anaowasema mimi binafsi nawaona wa kawaida tu thewy have life and I have life too hahahahahaa mnanichekesha sana na maneno mengi sana hewa

Le Mutuz

Jichekeshe ivo ivo...
 
You are such a clown! You are such an amusement! A gesture of an awful comedy...siwezi kununa u knw!

- hahahahaha now why waste your energy arguing with a Clown? hahahahahahhaa or you are a Clown yourself? I mean it is strange arguing with a Clown if you are not one! hahahahahahahha

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom