Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Oldness' is a state of mind....

Live your life bro.

Sema hapo kwa Totti, umepiga nnje.
 
imekuwaje hii picha yake na Francesco Totti ameiondoa kwenye instagram page yake?
 
Honestly, am very much inspired by the spirit this man shows.
Regardless how bad people talk about him, he keeps on doing his things, he keeps on moving, he keeps on getting busy with his business...
Sidhani kama watu wanamchukia zaid wanafurahia na kushangazwa na jinsi alivyo kwa maana anavyofanya iwe positive au negative havijazoeleka kwa watu wa umri wake hivyo ni burudani tosha wengi humu wanaojibishana nae wakikutana nae face to face watamwamkia kwa heshima
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hatari! naona kuna mtu ameambiwa aonyeshe hadharani vyeti vyake vya degree 3 alizonazo
 
Natafuta kazi le mutuz please nipo serious na mimi nahitaji kula bata.. Nicheki Pm
 
hatari! naona kuna mtu ameambiwa aonyeshe hadharani vyeti vyake vya degree 3 alizonazo
Insta iko katika meltdown- Le mutuz has finally met his match,Mange anakwenda toe to toe na le mutuz-credibility yake iko at stake data zinamwagwa like never before,mtu mzima is clinging on for dear life,anatumia lugha za mjini kukwepa makombora-Naona Mange ameamua kuchukua kwa nguvu taji la king/queen wa social networks bongo
 
Kuna ule wimbo wa harmowolper unaitwa natafuta kiki mzur sana
 
On second thoughts huyu Mange alikosea sana kutokuja opposition,huyu ni catylist ya change-just imagine angekuwa mbunge wa opposition na hizi cheche anazomwaga ingekuwa hatari. One thing about her ni anamwaga hard facts
 
kwanini mara hufungi vifungo vya shati lako au unawewe unaonyesha six packs zako au dar kijoto??
 
Hahaha huyu jamaa anaishi maisha swafi sana. Ukianza kuleta stress nchi kama hii utajifia mapema u know.. Tafuta pesa kula bataz na bebez u know!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…