Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Nilikua bado sijaamini kua una akili ya kitoto lakini hapa nimeamini.

- Nikikuomba unilipie maisha yangu njoo hapa useme haya otherwise nyamaza tu maana umeandika nonesense watoto hawana ofisi hapa Posta Mpya hahaha nenda ulizia rent ni kiasi gani per square meter ndio utajua kama kuna watoto hapa mjini utoto ni kutumia majina ya bandia kutukana watu kwenye mitandao tena usiowajua ndio utoto hahaha

Le Mutuz
 
Hivi kupiga picha na mabilionea kunaongeza nini ?? Msaada pls
 
- hahahahahahaha umekuja mbio kunichangia hahahahahaha U know naona hamna kitu hapa ok mkinihitaji tena nifahamisheni ila punguzeni umbeya watoto wa kiume nyie hapa ni mjini shauri lenu hahahahahahha

Le Mutuz

Mkuu kwanini unapenda kucheka cheka kila post?

Too much laughing inapunguza thinking capacity!!
 

Kumbe kumtibu mama yako ni mpaka upitishe mchango.
Kweli nimeamini bado mtoto
 
- hahahahaha nimeshapewa Complimentary tickets za Tarehe Moja Mliman City, unadhani unaweza kujipendekeza Diamond na Zari wakakupa bure? hahahahahahaha

Le Mutuz

Teh Teh Teh kwa hiyo we ulijipendekeza ukapewa kwa kutoa nn :what::what:

Just simple question😎
 
Kumbe kumtibu mama yako ni mpaka upitishe mchango.
Kweli nimeamini bado mtoto

- Great niliandika kwenye my Instagram kwamba Mama yangu anaumwa ninaenda Mbeya, within 10 minutes simu ya kwanza ilikuwa ya Marehemu Seky akaniambia kuna mtu anakuletea tiketi za ndege za kwenda na kurudi, and then ikawa kama mvua kila mtu ananitumia kila anachoweza mpaka kuna Instagram fans walionitumia mpaka Shillingi Elfu moja kutokana na uwezo wao, kuna Mdada from Arusha alinitumia Shillingi Millioni Mbili na simfahamu wala sijawahi kumuona anamiliki maduka ya kubadilisha pesa ni my big fan Instagram, nikiwa Mbeya Tajiri mwingine rafiki yangu akanitumia hela nyingi sana na mwingine akaniambia nirudi nije nimpe hesabu kamili ya kubomoa na kujenga nyumba mpya ya Mama yangu,

- Now kama kwa kuandika Instagram kwamba Mama yangu anaumwa ni "kupitisha mchango" then kweli nina dhambi kubwa ya kuomba mchango hahahahahaha ila ulitaka niwaambie nini my fans wanaoni follow kila siku maana unasema nikiwaambia mama yangu anaumwa ni kuomba michango? hahahahahahaha kubali tu kwamba ninakubalika na jamii kutokana na my personality na utu wangu ambalo ndilo tatizo lako maana hujulikani na wala sio Celebrity sasa unasema ni kosa langu? hahahahahahahaha

- Wewe ona Show ya Diamond Mliman City ni Tarehe Moja mimi nimeshapewa Complimentary now ndio maana ya kukubalika na jamii so calm down mkuu nilitaka sana kufafanua this ishu I hope nimekusaidia wewe na wengine hukooooo hahahahahaha

Le Mutuz
 
Teh Teh Teh kwa hiyo we ulijipendekeza ukapewa kwa kutoa nn :what::what:

Just simple question😎

- well ni kawaida ya mlevi kuamini wengine wote ni walevi so is you unafikiri kwa vile ulisaidiwa ukalipa kwa kutoa nn so unadhani ni wote hahahahahah kumbe ndio tabia yako ya kulipa na what hahahahahahah ila hapa utakuwa umepotea njia hahahah hapa sio Mombasa

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…