William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Le super p.i.m.p ungekaa zako tuu kimya.
- hahahahaha ndio tabia za watu wanaofanya upimp huwa wana akili ndogo kama yako ya kuamini wengine wote ni kama wewe hahahahahahahaha
Le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le super p.i.m.p ungekaa zako tuu kimya.
- hahahahaha ndio tabia za watu wanaofanya upimp huwa wana akili ndogo kama yako ya kuamini wengine wote ni kama wewe hahahahahahahaha
Le Mutuz
labda le mutuz aweke wazi kinagaubaga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato ili tujue kweli yuko juu au ndo anasubir mzee tu akichukuliwa na muumba akarithi....... otherwise watu hawataach muona anajipendekeza kwa wenye nazo kwa ajili ya financila gain tu au aonekane tu wako level moja kumbe tofauti kabisa!!!
Wee ni kweli unafanya hiyo biashara, naelewa fika dhumuni lako la kujitutumua kujaribu kukana hapa.
- Ina maana moja tu kwamba nilishawahi kukukuuza wewe si ndio mamen hahahahahahahahahhaa sasa kwa nini usiweke ushahidi maana nilipokuuza si kuliko kulikuwa na evidence au? hahahahaha
Le Mutuz
Teh....teh!!!! Le mutuz kaja.....leo kazi kwenu mnaochokoza akili kubwa.
...
- Urafiki wa mimi na Super Star Lulu Michael unaanzia kwa Mjomba wake Super Bilionea Ben ambaye ...
Ben Mulokozi au?
Teh....teh!!!! Le mutuz kaja.....leo kazi kwenu mnaochokoza akili kubwa.
- hahahahaha nimeshapewa Complimentary tickets za Tarehe Moja Mliman City, unadhani unaweza kujipendekeza Diamond na Zari wakakupa bure? hahahahahahaha
Le Mutuz
- Sikusema jina lake la mwisho kwa sababu ni mtu ambaye hapendi publicity, ila kama unamjua Ben Mulokozi then unatakiwa kujua anaishi wapi sidhani kama anaishi Kinyerezi
Le Mutuz
duuuh watoto wa le mutuz nao wana hasara kuwa na baba kama huyu anaejisifia kupewa ticket na kina diamond/zari.kwa umri wake that will be the last thing to go public.. kua mwana umri mkubwa huo eboo.
Hivi wewe mpaka uanze kuwa na mapengo ndio utatambua kwamba ni mzee na unatakiwa ujiheshimu, sasa mcheko wote huo ni kwa sababu tuu ya kupewa komplimentari na Diamond. Mbona kuna watu wa kawaida tuu wamepewa pia.
Ha ha ha ha Le mbululaz, U mean Kinyerezi kwenye mjengo wako ma-super bilioneaz hawakai?
WatakuelewA tu babu.. @W.J. Malecela hawajui kama wao ni Le Mbululaz na wewe ndio King wao
Salute Le Mukubwaz..
Sa hv una umri gani vile? Besdei lini uwape complimentary
- So una maana una mapengo ndio maana unajiheshimu sana kwa kuja JF kwa kutumia majina ya bandia kutukana watu usiowajua wala kukujua ndio busara za uzee na mapengo hizo? hahahahahahahaha
Le Mutuz