maringeni
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,197
- 3,896
Hata kabla ya kumsikiliza. Ziko sura ukiziona kwanza unaondoa hesabu. Ukiangalia tena unaondoa sayansi ukiangalia kwa makini unaondoa biashara.
Arts unakuwa na wasiwasi na lugha. Unapozidi kuwa makini unagundua kuna watu hawakujaliwa kitu. Ni weupe pe kichwani. Taabu inakuwa kubwa asipojitambua.
Arts unakuwa na wasiwasi na lugha. Unapozidi kuwa makini unagundua kuna watu hawakujaliwa kitu. Ni weupe pe kichwani. Taabu inakuwa kubwa asipojitambua.