Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Tunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania.
Lakini pamoja na hayo, ni lazima utaratibu wa kisheria na ustaarabu wa kimataifa ufuatwe na kuzingatiwa vilivyo.
Njooni mfanye mambo yenu ya kiuchumi na kijamii kistaarabu kama ambavyo waTanzania huja kwenu kufanya mambo yao ya kijamii na kiuchumi Kenya kistaarabu, bila kuingilia mambo ya siasa za kenya na wala kumdhihaki rais na mkuu wenu wa nchi.
Kinyume na hapo,
Tanzania haitaruhusu mKenya kuja kuingilia siasa na mambo ya ndani ya taasisi huru za Tanzania, na ni wazi kwamba hakuna mTanzania atakuja Kenya kuingilia mambo ya siasa za kenya na kuwaelekeza wakenya namna ya kuishi na kuendesha mambo ya ndani ya kenya na taasisi zake huru.
Tuheshuimiane bila mayowe na bila kubweka bweka bila mpangilio.
Ukarimu wetu, upole wetu na ukimya wetu sio ufala, msituzoee vibaya
Mungu Ibariki Tanzania , Mungu Ibariki Africa Mashariki