Ukarimu, upole na ukimya wa Watanzania siyo ujinga, Wakenya tuheshimiane

Tanzania kwanza…mengine turekebishane taratibu…democracy in Tanzania bado ni changa…Tuvumiliane kidogo..tusifike kule..ni kubaya zaidi…ila wakenya wametukosea kabisaa…kwa nn wamtukane Rais na sio Rais tuu..hadi sisi wananchi wa kawaida…kwa hili BIG NO..!!
 
Tunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania.
Lakini pamoja na hayo, ni lazima utaratibu wa kisheria na ustaarabu wa kimataifa ufuatwe na kuzingatiwa vilivyo.

Njooni mfanye mambo yenu ya kiuchumi na kijamii kistaarabu kama ambavyo waTanzania huja kwenu kufanya mambo yao ya kijamii na kiuchumi Kenya kistaarabu, bila kuingilia mambo ya siasa za kenya na wala kumdhihaki rais na mkuu wenu wa nchi.
Hiloooooooooooooooooooo
 
😂🤣😂🤣👇👇👇👇👇
 
hakuna mkenya aliekatazwa kushiriki masuala ya kijamii na kiuchumi.
na hakuna mTanzania aliezuiwa kenya kufanya mambo ya kijamii na kiuchumu. Sote tuko huru kufanya hayo africa mashariki.

Lakini,
kuingilia mambo ya kisiasa sijui ccm au chadema imefanya nini, au kumzodoa mkuu wa nchi na kumuita majina ya ajabu ajabu, hilo halitaruhusiwa popote penye ustaarabu wa kisheria.

Huwezi kutoka kenya,
eti kwa kudanyanywa na maria sarungi ambae anafahamika kwa chuki dhidi ya Tanzania, na wewe kichwa kichwa tu unakuja kuropoka mambo ambayo hayapo dhidi ya ccm, chadema, dhidi ya rais na dhidi ya mahakama. Hatuwezi kuruhusu uropokaji kama wa matha karua humu nchini :putinWalk:
Hofu imekutanda moyoni, wasiwasi mwingi unazunguka ndani ya mwili wako, huna namna inabidi uandike tu, maana ukishakuwa kupe huwezi kusurvive bila damu ya host. Pole sana ila endelea kukazana, angalau watakukumbuka
 
masuala ya kukazana fanyeni huko huko kwenya familia yenu gentleman, plz,

huku tuanjadili mambo ya msingi ya kizalendo na ya kitaifa tu :putinWalk:
 
Pole sana Gentleman, Misingi ya taifa ni kuua na kuteka watu, kuuza rasilimali za nchi na mwishoww utu wetu utauzwa pia. Swali moja kwako Gentleman, Angepotea Mpedwa Abdul,nayo ingeitwa ni drama?
 
Tunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania.
Lakini pamoja na hayo, ni lazima utaratibu wa kisheria na ustaarabu wa kimataifa ufuatwe na kuzingatiwa vilivyo.

Njooni mfanye mambo yenu ya kiuchumi na kijamii kistaarabu kama ambavyo waTanzania huja kwenu kufanya mambo yao ya kijamii na kiuchumi Kenya kistaarabu, bila kuingilia mambo ya siasa za kenya na wala kumdhihaki rais na mkuu wenu wa nchi.

Kinyume na hapo,
Tanzania haitaruhusu mKenya kuja kuingilia siasa na mambo ya ndani ya taasisi huru za Tanzania, na ni wazi kwamba hakuna mTanzania atakuja Kenya kuingilia mambo ya siasa za kenya na kuwaelekeza wakenya namna ya kuishi na kuendesha mambo ya ndani ya kenya na taasisi zake huru.

Tuheshuimiane bila mayowe na bila kubweka bweka bila mpangilio.
Ukarimu wetu, upole wetu na ukimya wetu sio ufala, msituzoee vibaya :putinWalk:

Mungu Ibariki Tanzania , Mungu Ibariki Africa Mashariki
Wale wahuni,warudi kwao Kenya wakalee wajukuu
 
Utawafanya nini wakenya ndugu yangu? Nyie saizi yenu kuonea akina Mdude tu.
 
Back
Top Bottom