No reform no electionzingatia maelezo ya kizalendo gentleman
NakaziaHuna hoja. No reform no election
Tunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania.
Lakini pamoja na hayo, ni lazima utaratibu wa kisheria na ustaarabu wa kimataifa ufuatwe na kuzingatiwa vilivyo.
Njooni mfanye mambo yenu ya kiuchumi na kijamii kistaarabu kama ambavyo waTanzania huja kwenu kufanya mambo yao ya kijamii na kiuchumi Kenya kistaarabu, bila kuingilia mambo ya siasa za kenya na wala kumdhihaki rais na mkuu wenu wa nchi.
Kinyume na hapo,
Tanzania haitaruhusu mKenya kuja kuingilia siasa na mambo ya ndani ya taasisi huru za Tanzania, na ni wazi kwamba hakuna mTanzania atakuja Kenya kuingilia mambo ya siasa za kenya na kuwaelekeza wakenya namna ya kuishi na kuendesha mambo ya ndani ya kenya na taasisi zake huru.
Tuheshuimiane bila mayowe na bila kubweka bweka bila mpangilio.
Ukarimu wetu, upole wetu na ukimya wetu sio ufala, msituzoee vibaya
Mungu Ibariki Tanzania , Mungu Ibariki Africa Mashariki
Karatu kuna mabumunda asee wewe namba mojaTunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania.
Lakini pamoja na hayo, ni lazima utaratibu wa kisheria na ustaarabu wa kimataifa ufuatwe na kuzingatiwa vilivyo.
Njooni mfanye mambo yenu ya kiuchumi na kijamii kistaarabu kama ambavyo waTanzania huja kwenu kufanya mambo yao ya kijamii na kiuchumi Kenya kistaarabu, bila kuingilia mambo ya siasa za kenya na wala kumdhihaki rais na mkuu wenu wa nchi.
Kinyume na hapo,
Tanzania haitaruhusu mKenya kuja kuingilia siasa na mambo ya ndani ya taasisi huru za Tanzania, na ni wazi kwamba hakuna mTanzania atakuja Kenya kuingilia mambo ya siasa za kenya na kuwaelekeza wakenya namna ya kuishi na kuendesha mambo ya ndani ya kenya na taasisi zake huru.
Tuheshuimiane bila mayowe na bila kubweka bweka bila mpangilio.
Ukarimu wetu, upole wetu na ukimya wetu sio ufala, msituzoee vibaya
Mungu Ibariki Tanzania , Mungu Ibariki Africa Mashariki
hakuna mkenya aliekatazwa kushiriki masuala ya kijamii na kiuchumi.Kwani wakenya wamesema nini?
Wao wamekuja kuangalia maajabu ya dunia yanayoendelea
Mbona wakija kwenye mambo ya CCM mnawakaribisha?
Waacheni waje wajifunze siasa zetu zilivyomzuri
Mtu anakamatwa na kushitakiwa kwa makosa aliyofanya huko YouTube ila mpaka leo uchunguzi unaendelea wakati ushahidi uko YouTube
Let them come, ni ndugu zetu wale kwa shida na Raha
hakuna mkenya aliekatazwa kushiriki masuala ya kijamii na kiuchumi.
na hakuna mTanzania aliezuiwa kenya kufanya mambo ya kijamii na kiuchumu. Sote tuko huru kufanya hayo africa mashariki.
Lakini,
kuingilia mambo ya kisiasa sijui ccm au chadema imefanya nini, au kumzodoa mkuu wa nchi na kumuita majina ya ajabu ajabu, hilo halitaruhusiwa popote penye ustaarabu wa kisheria.
Huwezi kutoka kenya,
eti kwa kudanyanywa na maria sarungi ambae anafahamika kwa chuki dhidi ya Tanzania, na wewe kichwa kichwa tu unakuja kuropoka mambo ambayo hayapo dhidi ya ccm, chadema, dhidi ya rais na dhidi ya mahakama. Hatuwezi kuruhusu uropokaji kama wa matha karua humu nchini
Punguzeni KKTunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania.