Ukarimu, upole na ukimya wa Watanzania siyo ujinga, Wakenya tuheshimiane

Tanzania kwanza…mengine turekebishane taratibu…democracy in Tanzania bado ni changa…Tuvumiliane kidogo..tusifike kule..ni kubaya zaidi…ila wakenya wametukosea kabisaa…kwa nn wamtukane Rais na sio Rais tuu..hadi sisi wananchi wa kawaida…kwa hili BIG NO..!!
 
Hiloooooooooooooooooooo
 
😂🤣😂🤣👇👇👇👇👇
Your browser is not able to display this video.
 
Hofu imekutanda moyoni, wasiwasi mwingi unazunguka ndani ya mwili wako, huna namna inabidi uandike tu, maana ukishakuwa kupe huwezi kusurvive bila damu ya host. Pole sana ila endelea kukazana, angalau watakukumbuka
 
masuala ya kukazana fanyeni huko huko kwenya familia yenu gentleman, plz,

huku tuanjadili mambo ya msingi ya kizalendo na ya kitaifa tu
 
masuala ya kukazana fanyeni huko huko kwenya familia yenu gentleman, plz,

huku tuanjadili mambo ya msingi ya kizalendo na ya kitaifa tu
Pole sana Gentleman, Misingi ya taifa ni kuua na kuteka watu, kuuza rasilimali za nchi na mwishoww utu wetu utauzwa pia. Swali moja kwako Gentleman, Angepotea Mpedwa Abdul,nayo ingeitwa ni drama?
 
Wale wahuni,warudi kwao Kenya wakalee wajukuu
 
Utawafanya nini wakenya ndugu yangu? Nyie saizi yenu kuonea akina Mdude tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…