Ukarimu, upole na ukimya wa Watanzania siyo ujinga, Wakenya tuheshimiane

Utawafanya nini wakenya ndugu yangu? Nyie saizi yenu kuonea akina Mdude tu.
wataendelea kurejeshwa kwao mpaka pale watakapokua na adabu kwa viongozi wa kuu wa nchi na taasisi zetu huru
 
wataendelea kurejeshwa kwao mpaka pale watakapokua na adabu kwa viongozi wa kuu wa nchi na taasisi zetu huru
Kwa hiyo kuja kusikiliza kesi ni kuwakosea adabu viongozi wakuu wa nchi.

Kwani mnaogopa wakija kusikiliza hii kesi itakuwaje kwani?
 
Kwa hiyo kuja kusikiliza kesi ni kuwakosea adabu viongozi wakuu wa nchi.

Kwani mnaogopa wakija kusikiliza hii kesi itakuwaje kwani?
unless hufuatilii uropokaji wa matha Karua hususani wa last month alipokuja kuhudhuria kesi ya huyo kibaka wa siasa za Tanzania.

hakuna taifa la kistaarabu lingeweza kumruhusu mropokaji mtukanaji wa mamlaka za nchi kama matha Karua 🐒
 
JK alipoenda kwenye machafuko ya Kenya hakwenda kuingilia mambo yao ya ndani ya kisiasa?
 
JK alipoenda kwenye machafuko ya Kenya hakwenda kuingilia mambo yao ya ndani ya kisiasa?
Alipeleka amani na matumaini kwa waKenya waliokua wanaangamizana, hakwenda kumlaumu wala kumtukana Mwai Kibaki, Raila ODINGA, Uhuru Kenyata au William Ruto na ndio maana hukumskia pia akilaumu chama chochote cha siasa Kenya kama ambavyo mropokaji matha Karua alifanya mwezi uliopita 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…