Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ukarimu wa wana Chadema katika kesi ya kuchonga ya Mhe Mbowe. Wakati wa break hapa mahakamani tunagawana chochote kujikimu; maji, chai, donati muhogo nk. Kesi itaendelea na leo ni yule shahidi aliyedai kuumwa kichwa ghafla. Mchana huu Kibatala atamsababishia maumivu ya tumbo.
https://t.co/FDB00rnyVe