Ukarimu wa Wana - CHADEMA: Wakati wa break mahakamani kwenye kesi ya Mbowe tunagawa chakula

Ukarimu wa Wana - CHADEMA: Wakati wa break mahakamani kwenye kesi ya Mbowe tunagawa chakula

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Ukarimu wa wana Chadema katika kesi ya kuchonga ya Mhe Mbowe. Wakati wa break hapa mahakamani tunagawana chochote kujikimu; maji, chai, donati muhogo nk. Kesi itaendelea na leo ni yule shahidi aliyedai kuumwa kichwa ghafla. Mchana huu Kibatala atamsababishia maumivu ya tumbo.

IMG_20220118_141801.jpg
https://t.co/FDB00rnyVe
 
Mungu baba ninakuomba usimame dhidi ya wadhalimu wote,
 
Watu wajiandae kuharisha Tu hapo Kwa hyo misosi
 
Na Bwana zenu walio kimbia nchi wana kula mihogo kama nyie ?
 
Back
Top Bottom