Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

..Shit!!

..This is ugly and crazy.

..SADC na EAC waingilie kati kusitisha vitendo hivi vya kikatili na kinyama.

..Naamini wanajeshi ambao ni NEUTRAL wanatakiwa kwenda huko kuhakikisha kuna AMANI.
Kadhia imeletwa na M23 wanaungwa mkono na Wanyamulenge . Hawa M23 wanaua makabila mengine Kila Leo. Wakiuwawa wao inakua Genocide
 
Sisi wanadamu ni viumbe wa ajabu sana MUNGU katuumba na akili timamu ya kujitabua lipi jema na lipi ni baya.

DRC ni sehemu iliyotawaliwa na mauaji tangu miaka ya 90 ila mpaka leo hakuna Juhudi zozote za kuzuia mauaji hayo. Hata mwezi uliopita watu waliuawa zaidi ya 100 eneo ya Kishishe na m23.

Sasa kuna mauaji wanaendelea sasa DRC yaliaanza mwaka 2017 mpaka sasa bado wanaendelea.
Ni watu wenye asili ya Tutsi wanaitwa Banyamulenge, wanauawa na kupigwa mpaka HURUMA.

Wacongo wao wanaamini hawa watu ndo chanzo cha matatizo yote huko congo. KINACHOENDELEA ni kuwafukuza na KUMWAMBIA warudi warudi Rwanda na asilimia kubwa ya hao watu wamezaliwa Congo ila walihamia miaka ya nyuma sana DRC kutoka Rwanda na baadhi Burundi.

View attachment 2460037
Huyo ni Doctor kauawa kinyama sana na alikaribia kufunga ndoa mpakani.

View attachment 2460038View attachment 2460039
Na wengine still wanauawa
View attachment 2460040
Ni halali watoke Congo warudi kwao hao hawajivui gamba Bora warudi kwao tu, miaka ijayo hapa kwetu wale ambao Kikwete aliwapa uraia watatesa kizazi Cha baadae kamq ilivyo DRC huko
 
Kwa ukatili wa watusi kwa sasa siwezi kuwaonea huruma wakiteswa ni wauaji hatari Kikwete aliwashauri maridhiano na mapatano ya amani Warwanda hawataki na nchi za ulaya zinawapa watusi kiburi na unyama mwisho wao umefika.

Hata Mchungaji Christopher Mtikila walimuua wao hao vyura na migomba mirefu
 
Chanzo cha haya yote, ni mfumo feki wa maisha tunayoishi binadamu ambao haukupangwa na Mwenyezi MUNGU. Mfumo huu feki wa maisha hasa ukichangiwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia.

Umekua ukimumiza na kumtesa sana binadamu, na jambo hili limepelekea binadamu kwa binadamu kati yao kuwa na roho za chuki,visasi,vinyongo,wivu wa kipumbavu kuhusu madaraka,mali,vyeo,mapenzi and so on and so forth. Ambapo imemfanya binadamu kuwa na roho ya kikatili iliyojazwa na tamaa ya kitu fulani. Na kupelekea kufanya chochote kwa njia yoyote, ikiwemo kuua ili kufanikisha kile akitakacho.

Hivyo nipende kusema tu ulimwengu wote ushachafuka na haya mambo ya vita,magonjwa na njaa n.k hayatakoma leo wala kesho mpaka mwisho wa huu ulimwengu utakapofika.
 
Kwahiyo unaunga mkono mauaji haya yanayotokea?
Siungi mkono ila Watusi mabingwa wa kulalamika kuliko Wahutu!!!!Sio watusi pekee wanaouawa DRC hata wahutu wanauawa sana na banyamulenge (Watusi wazawa wa DRC)!!!!!Jamii zote zina makosa sio wahutu pekee au wabantu wa DRC!!!!Sema Watusi hatupendagi kuzungumza ukweli wakati mwingi
 
Sisi wanadamu ni viumbe wa ajabu sana MUNGU katuumba na akili timamu ya kujitabua lipi jema na lipi ni baya.

DRC ni sehemu iliyotawaliwa na mauaji tangu miaka ya 90 ila mpaka leo hakuna Juhudi zozote za kuzuia mauaji hayo. Hata mwezi uliopita watu waliuawa zaidi ya 100 eneo ya Kishishe na m23.

Sasa kuna mauaji wanaendelea sasa DRC yaliaanza mwaka 2017 mpaka sasa bado wanaendelea.
Ni watu wenye asili ya Tutsi wanaitwa Banyamulenge, wanauawa na kupigwa mpaka HURUMA.

Wacongo wao wanaamini hawa watu ndo chanzo cha matatizo yote huko congo. KINACHOENDELEA ni kuwafukuza na KUMWAMBIA warudi warudi Rwanda na asilimia kubwa ya hao watu wamezaliwa Congo ila walihamia miaka ya nyuma sana DRC kutoka Rwanda na baadhi Burundi.

View attachment 2460037
Huyo ni Doctor kauawa kinyama sana na alikaribia kufunga ndoa mpakani.

View attachment 2460038View attachment 2460039
Na wengine still wanauawa
View attachment 2460040
Lengo la hii habari ni nini? Kwamba tuamini wacongo wakorofi, tuwaonee huruma hao wanyamulenge au ni kutaka kutuaminisha watutsi na Rwanda sio chanzo chanzo cha mauaji na vita kupitia M23?
 
Hakuna mtutsi wa Karagwe, wewe ni mkimbizi.
Mipaka aliweka mkoloni kaka!!!Babu zangu wa mwanzoni waliingia karagwe miaka ya 1700,s!!!Enzi hizo zilikuwapo flame nyingi nyingi ik I we po himaya inaitwa Karagwe!!!!!Mipaka waliweka wajerumani sasa ukimbizi wangu ni UPI????Waangaza,Wanyambo,Wahaya na Wanyankole na Wanyoro utawazungumziaje????Au hujui historia ya makabila ya mpakani mdogo wangu???
 
Back
Top Bottom