Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Unarukia mambo! Mimi hoja yangu ilikuwa katika kujibu wapuuzi ambao walisema kinyambo kinashabihiana na kinyarwanda. Wewe ukaingiza hoja ya kipumbavu kuwa nasema hivyo kwa kuwa nina chuki na Kagame. Nikakueleza ukweli wangu kuwa Rais wa nchi anawajibika katika nchi husika. Kama anailetea tangible infrastructure development, kwangu mengine ni minor. Hivyo nampenda Kagame maana ameitoa from Zero mpaka hapo juu Rwanda. Mengine ni ya kwenu na sitaki kuyaingilia
Acha hasina mkuu, maana hata Joseph stalin alikuwa watu 8 million lakini do aliyeshababisha urusi iyendelee. Au sio
 
Hilo lijamaa lililokata uume wa mtu anayekata roho kwa meno ,duh Ila kuna majitu mengine ni subhumans sio binadamu kabisa ,hivi unaanzaje kufanya unyama kama huo ,?
 
Mimi nachukia uongo! For your information Kagame ameinyanyua Rwanda na Karibuni itakuwa superpower ya EA. Sasa hivi Rwanda imeendelea kuzidi Tanzania. Huwezi kulinganisha Kigali na Kampala ujue. Ila Ukweli ni lazima usemwe.

To me PK au JPM ndiyo marais bora maana kama JPM alitaka kuifanya Tanzania iwe superpower ya EA ujue kwa kuendeleza miundombinu. PK is the best na hivyo kwa kueleza kuwa Kinyambo na kinyarwanda havishabihiani naeleza ukweli, siyo kuwa namchukia Kagame. Na msimamo wangu hapa JF unajulikana kuhusu JPM
Rwanda imeizidi Tanzania kwenye nini?ukabila?
 
Unarukia mambo! Mimi hoja yangu ilikuwa katika kujibu wapuuzi ambao walisema kinyambo kinashabihiana na kinyarwanda. Wewe ukaingiza hoja ya kipumbavu kuwa nasema hivyo kwa kuwa nina chuki na Kagame. Nikakueleza ukweli wangu kuwa Rais wa nchi anawajibika katika nchi husika. Kama anailetea tangible infrastructure development, kwangu mengine ni minor. Hivyo nampenda Kagame maana ameitoa from Zero mpaka hapo juu Rwanda. Mengine ni ya kwenu na sitaki kuyaingilia
Kaka kagame haikuitoa Rwanda from zero!!!Na akina Kayabanda na wengineo walifanyaje??????Kagame kakuta Rwanda imejengwa na watu waliokua kabla yake na yeye akaendeleza!!!!!Ndio maana nikakuuliza ushawahi kuishi Rwanda hata miaka miwili kaka????
 
Huwa nahisi kuwa hii siyo kweli, kimsingi wanyarwanda wa asili ya ki-tutsi walianza kukimbia rwanda miaka ya 1956, 1965 et cetera. Of recent, 1965 kulitokea mzozo mkubwa baina ya utawala wa Rwanda na wanyarwanda wa jamii ya watutsi na watutsi wakakimbilia Zaire na Uganda kwa wingi. Huko Zaire wakashambuliwa na makundi ya wapiganaji wa jadi na dunia ikaingilia so, wengi wakawa re-settled to Tanzania nahapo ndipo Nyerere akawapa makazi pale Mwese_Mpanda-Katavi na baadae Nyerere akawapa mass naturalization(Uraia). Nachotaka kusema ni kuwa hawa watu si wa asili ya Kongo, ni matokeo ya ugomvi baina ya Habyarimana na Kaibanda. Kimsingi, hawa wahanga waliendelea kufanya majaribio kadhaa ya kumuondoa madarakani rais wa Rwanda mara kadhaa chini ya viongozi mbalimbali mpaka alipotokea Rwigema aliyekuwa senior officer katika jeshi la Uganda alipoanzisha RPF ambapo akamkaribisha Kagame na Kagame akamzawadia zawadi wa kifo
They kill Rwigema in coldly way!!!!Hakudeserve betray ya namna ile kutoka RPA!!
 
Asante msomi kwa kunisaidia mimi ni mnyambo waliochanganyika na koo za Watusi ila naelewa lugha zote kuanzia kinyambo,kihaya,kinyarwanda,kinyankore na kiangaza!!!But some people wanakataa wakati sio Wanyambo wala Wahaya
Kuna koo za kitusi katika makabila ya wanyambo, wanyankole, wahima, wakiga, waha, wahangaza, wahaya, wakurya nk. Watusi wengi wameoleana sana na hayo makabila ila ukimuona unamjua kwa wajihi wake ila kutokutambua kabila la watusi bongo imesaidia kupunguza influence yao ila tunaishi nao na tunawajua. Suala la watusi lisihusishwe na lugha ya kinyarwanda maana wapo watusi wanaoongea lugha mbali mbali kulingana na koo au maeneo waliyozaliwa
 
Kama mimi kiongozi ni mtusi ninaezungumza kinyambo na kiswahili!!!Lakini wananiita mnyarwanda sababu ya wajihii!!!Lol za mababu zangu walioleana na Wanyambo na wahaya na wanyankole pia!!!Kuhusu influence ni tabia yetu ya asili kupenda kudominate na kutawala haijalishi wapo Maeneo gani sababu hata mababu zangu walikua wanasema koo zao ni bora kuliko koo zote za Wanyambo na Wanyankore nimekuta hayo masimulizi!!!!
 
Kaweza 1996
Kaweza 1998-2003
Kipi kitamzuia mara hii? Jeshi la DRC ni dhaifu sana.
War is politics. Political nature ya DRC imebadilika sana. 1998 alikua Mabutu huyu alikua amechokwa na raia Pamoja na majirani. That's why mataifa mengi yaliweka okay. Unaona walipojaribu kwa Kabila Disere walishindwa.

Ikaja hii mitindo ya waasi nayo iko ukingoni. Kama Kagame ataendelea na huu mchezo, next stage itakua whole out war with DRC ambapo ni dhahiri Kagame atapoteza. Vita ikiwa ndefu Hutu wanaweza kumgeuka
 
Back
Top Bottom