Mtutsi huyo mwehu, achana nae. Weka vitu mkuu.Wewe ni mtutsi bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtutsi huyo mwehu, achana nae. Weka vitu mkuu.Wewe ni mtutsi bro
Acha hasina mkuu, maana hata Joseph stalin alikuwa watu 8 million lakini do aliyeshababisha urusi iyendelee. Au sioUnarukia mambo! Mimi hoja yangu ilikuwa katika kujibu wapuuzi ambao walisema kinyambo kinashabihiana na kinyarwanda. Wewe ukaingiza hoja ya kipumbavu kuwa nasema hivyo kwa kuwa nina chuki na Kagame. Nikakueleza ukweli wangu kuwa Rais wa nchi anawajibika katika nchi husika. Kama anailetea tangible infrastructure development, kwangu mengine ni minor. Hivyo nampenda Kagame maana ameitoa from Zero mpaka hapo juu Rwanda. Mengine ni ya kwenu na sitaki kuyaingilia
Basi ondoka kwenye uzi acha hasira.Acha kuandika kwa herufi kubwa maana tunaita ni kupiga kelele.
Rwanda imeizidi Tanzania kwenye nini?ukabila?Mimi nachukia uongo! For your information Kagame ameinyanyua Rwanda na Karibuni itakuwa superpower ya EA. Sasa hivi Rwanda imeendelea kuzidi Tanzania. Huwezi kulinganisha Kigali na Kampala ujue. Ila Ukweli ni lazima usemwe.
To me PK au JPM ndiyo marais bora maana kama JPM alitaka kuifanya Tanzania iwe superpower ya EA ujue kwa kuendeleza miundombinu. PK is the best na hivyo kwa kueleza kuwa Kinyambo na kinyarwanda havishabihiani naeleza ukweli, siyo kuwa namchukia Kagame. Na msimamo wangu hapa JF unajulikana kuhusu JPM
Kaka kagame haikuitoa Rwanda from zero!!!Na akina Kayabanda na wengineo walifanyaje??????Kagame kakuta Rwanda imejengwa na watu waliokua kabla yake na yeye akaendeleza!!!!!Ndio maana nikakuuliza ushawahi kuishi Rwanda hata miaka miwili kaka????Unarukia mambo! Mimi hoja yangu ilikuwa katika kujibu wapuuzi ambao walisema kinyambo kinashabihiana na kinyarwanda. Wewe ukaingiza hoja ya kipumbavu kuwa nasema hivyo kwa kuwa nina chuki na Kagame. Nikakueleza ukweli wangu kuwa Rais wa nchi anawajibika katika nchi husika. Kama anailetea tangible infrastructure development, kwangu mengine ni minor. Hivyo nampenda Kagame maana ameitoa from Zero mpaka hapo juu Rwanda. Mengine ni ya kwenu na sitaki kuyaingilia
Haijaizidi chochote trust me broRwanda imeizidi Tanzania kwenye nini?ukabila?
NajuaHaijaizidi chochote trust me bro
They kill Rwigema in coldly way!!!!Hakudeserve betray ya namna ile kutoka RPA!!Huwa nahisi kuwa hii siyo kweli, kimsingi wanyarwanda wa asili ya ki-tutsi walianza kukimbia rwanda miaka ya 1956, 1965 et cetera. Of recent, 1965 kulitokea mzozo mkubwa baina ya utawala wa Rwanda na wanyarwanda wa jamii ya watutsi na watutsi wakakimbilia Zaire na Uganda kwa wingi. Huko Zaire wakashambuliwa na makundi ya wapiganaji wa jadi na dunia ikaingilia so, wengi wakawa re-settled to Tanzania nahapo ndipo Nyerere akawapa makazi pale Mwese_Mpanda-Katavi na baadae Nyerere akawapa mass naturalization(Uraia). Nachotaka kusema ni kuwa hawa watu si wa asili ya Kongo, ni matokeo ya ugomvi baina ya Habyarimana na Kaibanda. Kimsingi, hawa wahanga waliendelea kufanya majaribio kadhaa ya kumuondoa madarakani rais wa Rwanda mara kadhaa chini ya viongozi mbalimbali mpaka alipotokea Rwigema aliyekuwa senior officer katika jeshi la Uganda alipoanzisha RPF ambapo akamkaribisha Kagame na Kagame akamzawadia zawadi wa kifo
Mbwembwe tu ukikaa kule ndio utajuaNajua
They are good propaganda: kwakuwa kwasasa wanaguswa kule DRC ndiyo maana kelele zinawekwa kila mahali-killersThey kill Rwigema in coldly way!!!!Hakudeserve betray ya namna ile kutoka RPA!!
Ila umenichekesha, anayway- muosha huoshwaWe mtutsi usituletee ujinga wako humu, acha jamaa atume video tuone mnvayoangamia. Mbona ninyi mmewaua wacongo wengi tu.
Kuna koo za kitusi katika makabila ya wanyambo, wanyankole, wahima, wakiga, waha, wahangaza, wahaya, wakurya nk. Watusi wengi wameoleana sana na hayo makabila ila ukimuona unamjua kwa wajihi wake ila kutokutambua kabila la watusi bongo imesaidia kupunguza influence yao ila tunaishi nao na tunawajua. Suala la watusi lisihusishwe na lugha ya kinyarwanda maana wapo watusi wanaoongea lugha mbali mbali kulingana na koo au maeneo waliyozaliwaAsante msomi kwa kunisaidia mimi ni mnyambo waliochanganyika na koo za Watusi ila naelewa lugha zote kuanzia kinyambo,kihaya,kinyarwanda,kinyankore na kiangaza!!!But some people wanakataa wakati sio Wanyambo wala Wahaya
Nafikiri laana ilianziaq pale ambapo kabila moja linafikiri kuwa halipashwi kutawaliwa na kabila lingineTuna nchi ya amani sana
Huko wao ni kuuwana tu ila kuna laana flani ni kama Somalia tu
Na marafiki zangu wakitusi nilisoma nao chuo kimoja DSM jamaa wanajisifia wanaakili Sana kama Jews.Mbwembwe tu ukikaa kule ndio utajua
Kama mimi kiongozi ni mtusi ninaezungumza kinyambo na kiswahili!!!Lakini wananiita mnyarwanda sababu ya wajihii!!!Lol za mababu zangu walioleana na Wanyambo na wahaya na wanyankole pia!!!Kuhusu influence ni tabia yetu ya asili kupenda kudominate na kutawala haijalishi wapo Maeneo gani sababu hata mababu zangu walikua wanasema koo zao ni bora kuliko koo zote za Wanyambo na Wanyankore nimekuta hayo masimulizi!!!!Kuna koo za kitusi katika makabila ya wanyambo, wanyankole, wahima, wakiga, waha, wahangaza, wahaya, wakurya nk. Watusi wengi wameoleana sana na hayo makabila ila ukimuona unamjua kwa wajihi wake ila kutokutambua kabila la watusi bongo imesaidia kupunguza influence yao ila tunaishi nao na tunawajua. Suala la watusi lisihusishwe na lugha ya kinyarwanda maana wapo watusi wanaoongea lugha mbali mbali kulingana na koo au maeneo waliyozaliwa
Ni kweli kaka tabia hiyo ipo na mababu zetu waliamini wao sio wabantu ni waabeshiNa marafiki zangu wakitusi nilisoma nao chuo kimoja DSM jamaa wanajisifia wanaakili Sana kama Jews.
War is politics. Political nature ya DRC imebadilika sana. 1998 alikua Mabutu huyu alikua amechokwa na raia Pamoja na majirani. That's why mataifa mengi yaliweka okay. Unaona walipojaribu kwa Kabila Disere walishindwa.Kaweza 1996
Kaweza 1998-2003
Kipi kitamzuia mara hii? Jeshi la DRC ni dhaifu sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na marafiki zangu wakitusi nilisoma nao chuo kimoja DSM jamaa wanajisifia wanaakili Sana kama Jews.