Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Mimi siungi mkono kinachoendelea Congo. Siungi mkono vita na chuki za kikabila vinavyoendelea Congo. Tuwe na mtazamo chanya wa kibadili hali ya Africa. Africa wote ni ndugu.

Hakuna race yeyote iliyobora kuliko nyenzake. Sio watusi wala sio wayahudi. Hii ni dhana imeletwa na watu wenye akili ili kututawala kirahisi.
 
Umesomeka mkuu, ila unavyojieleza ndio maana wakina muhweza wana wasiwasi na wewe. Sema ni mtazamo wangu usinijengee chuki.
Unajua nini mimi kinachonikwaza na RPF ni kila muhutu kumuona alihusika na intarehamwe na genocide ya 1993-1994!!!!Toka alipochukua madaraka Kagame kuna mambo hayapo sawa Rwanda sasa watu wakizungumza inaonekana chuki binafsi!!!!Kule DRC Wahutu wanateseka sana na asilimia kubwa hata hawakuhusika na intarehamwe!!!Wanaosifia serikali ya Kagame hawajawahi hata kuishi Rwanda na kuona hali ilivyo!!!KUHUSU AKINA MUHWEZA NA KOLOLO HAWAIJUI AFRIKA NADHANI HAWAJAWAHI KUISHI NCHI ZAIDI TISA ZA AFRIKA ndio maana wanaongea siasa za ushabiki bali mimi nazungumzia nilichokiishi!!!Na ni Uhuru wa kutoa maoni sina shida nao na ndio dhumuni la platform za jamii forum!!
 
Ndugu yangu Nelson sikupingi. Kagame kafanya mazuri kwa hilo taifa sikatai, ila kama nilivyosema anakoeleka anaenda kuharibu mapishi waziwazi. Wahutu sio wote walikuwa na hatia.

Natamani waje Tz waone watu wanavyoishi kwa upendo nao wajifunze jambo. Pamoja na changamoto tulizonazo ila ukabila sio kitu kinatuchukulia mda.
 
Nilikasirika sana siku ile ila sikua na jinsi!!!!Watanzania wapole sana kumtukana vile raisi ilikua ni kutuvunjia heshima!!!Kisa kikwete kamushauri kufanya mazungumzo na waasi wa FDR kama sikosei!!!Mbona yeye alipokua muasi Habyrimana alikubali kufanya nae mazungumzo
Mkuu reaction ya warwanda ilikuaje kuhusu jk, walimuunga mkono pk?
 
Mkuu reaction ya warwanda ilikuaje kuhusu jk, walimuunga mkono pk?
Kagame hapendwi na majority sababu ni mbaguzi wa makabila Hana tofauti na Habriymana kila mmoja anapendelea Jamii yake!!!!!Reaction ya wanyarwanda wa kawaida walimuona mzushi ila hawana nguvu ya kuzungumza sababu wanaitegemea Tanzania asilimia 90% kwenye nyanja zote kiuchumi,kimahusiano,kimichezo na kisiasa na kielimu pia!!!JK alipendwa Rwanda coz aliruhusu wafugaji waje kufuga mifugo Tanzania kwa kufuata utaratibu wa sheria za uhamiaji!!!Kule Rwanda nchi ndogo!!!
 
Tuongelee machafuko ya congo mbona mmehamisha mada mnajadili mambo ya ajabu ajabu hata hayaeleweki
 
Kagame hapendwi na majority sababu ni mbaguzi wa makabila Hana tofauti na Habriymana kila mmoja anapendelea Jamii yake!!!!!Reaction ya wanyarwanda wa kawaida walimuona mzushi ila hawana nguvu ya kuzungumza sababu wanaitegemea Tanzania asilimia 90% kwenye nyanja zote kiuchumi,kimahusiano,kimichezo na kisiasa na kielimu pia!!!JK alipendwa Rwanda coz aliruhusu wafugaji waje kufuga mifugo Tanzania kwa kufuata utaratibu wa sheria za uhamiaji!!!Kule Rwanda nchi ndogo!!!
Kumbe aliwaruhusu kuja kufuga ng'ombe
 
Nimeona mkuu, lakini hata kama inavutia kiasi gani, matatizo kama haya ya ukabila yaliyo katika nchi jirani hayawezi kumalizwa na mtutu wa bunduki ndani ya siku moja tena na nchi kama Tanzania.

Kuna sababu kadha wa kadha za ndani na nje ya nchi kama DRC ambazo inabidi zizingatiwe kwanza kama hatua ya awali kabisa ya kutatua huu mgogoro. Haya tunayoyaona ni matokeo tu ya tatizo kubwa lililoko ukanda huu.

Mwaka 2019 nishawahi kutoa maoni yangu kuhusu DRC kujiunga na EAC muda mrefu, lakini wengi wetu tulionekana kama wapiga ramli tu. Naambatanisha nakala:

Kagame hapendwi na majority sababu ni mbaguzi wa makabila Hana tofauti na Habriymana kila mmoja anapendelea Jamii yake!!!!!Reaction ya wanyarwanda wa kawaida walimuona mzushi ila hawana nguvu ya kuzungumza sababu wanaitegemea Tanzania asilimia 90% kwenye nyanja zote kiuchumi,kimahusiano,kimichezo na kisiasa na kielimu pia!!!JK alipendwa Rwanda coz aliruhusu wafugaji waje kufuga mifugo Tanzania kwa kufuata utaratibu wa sheria za uhamiaji!!!Kule Rwanda nchi ndogo!!!
Kama kweli majority hawampendi PK, mbona walikubali kubadilisha katiba kipindi kile kumruhusu atawale kwa mihula 7 ?....
 
Mimi babu zangu ni wa kitambo sana na hata lugha yao inashabihana na kinyankole na kihaya na kiganda asilimia kubwa!!Sizungumzii wahamiaji wa miaka ya 50,s na 60!!!!Mimi nazungumzia koo za kichifu za babu zangu walikua askari wa kukodiwa na machifu wengine kuiba mifugo na kupigana vita kabla hata mkoloni hajachora mipaka wala kufika!!!Hawa waliokimbia machafuko miaka ya1920,1940,1950 na 1960 walikuta babu zangu wapo karagwe zaidi ya miaka 400!!Ni kama Wamanyema wa kigoma au Watusi wa Kongo DRC wapo pande zote!!!!Umeelewa mdogo wangu
Acha kutumia nguvu bana kujitetea wewe ishi. Hii mipaka waliweka wakoloni na afrika ilikuwa moja. Mbona Kama mpakani na Kenya mmasai wa Kenya na Tanzania,mmeru wa Kenya na Tanzania na Kuna wakurya wapo Kenya na tanzania. Wao waliangalia ukubwa wa eneo wakagawana ili watawale Basi. Lakini sio kuwa asili ya watu ilikuwa inaangaliwa. Kama vipi mkubalie kuwa wewe Ni mkimbizi ili aridhike. Watu wanajitoa akili. Wakati wa Germany rule Rwanda na Burundi pia na Tanganyika ilikuwa kitu kimoja sema mwingereza ndio akamuachia Napoleon Rwanda na burundi
 
Ni kweli Watusi tuna tabia ya kujikweza sana na kudharau Jami I nyingine kama za wahaya,Wanyambo,wanyankole,waangaza,warundi,na wabangubangu and ect.......!!!Hiyo ni tokea zamani enzi za mababu na mababu na hayo ndio madhaifu yanayoleta ugomvi
So mlifundishwa kuwa nyie Ni special kisa Cha pua na Napoleon ama nakosea mkuu. Na aliwachukua akawa anawa treat kuwa wao wanakaribia kumfanana na mzungu kisa Cha pua na muonekano mwingine lakini hakuna mashavu makubwa nk.
So hii Hali ikaota. Yaani waafrika wanalalamika wanabaguliwa na wazungu Ila sie wenyewe mpaka kwenye Koo moja ama hata third parental watu wanabaguana tu. Kuwa huyu babu yake alikuwa hivi. Hata wazazi wanabagua watt wao. Yaani ubaguzi Ni nature ya binadamu Kama ilivyo fear,ego,greed nk
 
Back
Top Bottom