Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Ila wanapendeza nyuso zao tu; kunako kunashida, Ngoja niishie hapa, najua umenielewaVilaza tuu nshawakula madem wao...kawaida sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wanapendeza nyuso zao tu; kunako kunashida, Ngoja niishie hapa, najua umenielewaVilaza tuu nshawakula madem wao...kawaida sana
Ila wanapendeza nyuso zao tu; kunako kunashida, Ngoja niishie hapa, najua umenielewaVilaza tuu nshawakula madem wao...kawaida sana
Ukikutana nao kona kisha akakutaa, rudi nyumbani ukaoge, kunashidaVilaza tuu nshawakula madem wao...kawaida sana
Aaaaa were hapa hapa BONGO haul ilikuwa huko rwanda, ulikutananao wapi.Vilaza tuu nshawakula madem wao...kawaida sana
????? Wapi huko.kunako kunashida,
Kuna nini, shida gani mkuuUkikutana nao kona kisha akakutaa, rudi nyumbani ukaoge, kunashida
Maji mara moja kama maharage ya mbeya 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Kuna nini, shida gani mkuu
Kule panapotekenywa????? Wapi huko.
Tanzania ndiko MAJORITY wana POWER au mi sijakuelewa?Rwanda wananchi hawana power yeyote na hadi viongoz pk anachagua wanaomwogopa tuu...
Angalia baraza lake la mawazir madem wengi na kaz yao ni kupokea maelezo toka kwa pk..
Rwanda is a one man show
Shida ya hao wanyarwanda wanaonekana Ni pandikizi za Rwanda ili kuisumbua Congo Kama ambavyo wako kwenye mission ya Kutaka eneo la Eastern DRC kuwa sehemu ya Rwanda..Sisi wanadamu ni viumbe wa ajabu sana MUNGU katuumba na akili timamu ya kujitabua lipi jema na lipi ni baya.
DRC ni sehemu iliyotawaliwa na mauaji tangu miaka ya 90 ila mpaka leo hakuna Juhudi zozote za kuzuia mauaji hayo. Hata mwezi uliopita watu waliuawa zaidi ya 100 eneo ya Kishishe na m23.
Sasa kuna mauaji wanaendelea sasa DRC yaliaanza mwaka 2017 mpaka sasa bado wanaendelea.
Ni watu wenye asili ya Tutsi wanaitwa Banyamulenge, wanauawa na kupigwa mpaka HURUMA.
Wacongo wao wanaamini hawa watu ndo chanzo cha matatizo yote huko congo. KINACHOENDELEA ni kuwafukuza na KUMWAMBIA warudi warudi Rwanda na asilimia kubwa ya hao watu wamezaliwa Congo ila walihamia miaka ya nyuma sana DRC kutoka Rwanda na baadhi Burundi.
View attachment 2460037
Huyo ni Doctor kauawa kinyama sana na alikaribia kufunga ndoa mpakani.
View attachment 2460038View attachment 2460039
Na wengine still wanauawa
View attachment 2460040
Afu Lisu anataka tuandamane tuanze kuuana kisa Katiba mpya 😁😁DAh! Kudadadeki watu wanateseka.
Tuombe sana Mungu aturehemu
Hiyo jamii haiaminiki popote Duniani na kiukweli wanatakiwa kujitathmini..Pengine swali liwe kwa nini yanawatokea wao (Tutsi)?
Chuki Mbaya. tribalismView attachment 2460064
Hujasoma hustia wewe,hii Dunia imeputia ukatili huu Cha Mtoto,huko kwa Wazungu ndio balaa au nenda hata Ukraine hapo uone kinachoendelea kwenye vitaNimehuzunika sana, kwanini sisi waafrika tupo hivi..? Dah ila hao wanaowatesa hao tutsi nilazima wanahoja zao za msingi, hakuna mtu anazuka aanze kutesa mtu mwingine
Paka shume wa kigali hii ni wakeup call, jitathmini
Tz hapa hapa wapo mbonaaAaaaa were hapa hapa BONGO haul ilikuwa huko rwanda, ulikutananao wapi.
Hilo kabila kagame anawabrain wash sana shauri yao ....Hiyo jamii haiaminiki popote Duniani na kiukweli wanatakiwa kujitathmini..
Kama wanauawa warudi kwao Rwanda sio Kuwa M23 kwenye Nchi ya watu watawatafuta kote..
Ingawa kiukweli ikitokea genocide nyingine watakaothirika Ni wacongo zaidi maana hao jamaa tayari Wana uwezo wa Kijeshi kupitia M23/Rwanda