Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/-
Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa
35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion
Haki kila mauzo ya jezi moja inayoingia clabuni kwetu 1300 zidisha 100,000= 130,000,000 million. Huu ni wizi hii haikibaliki.