Bilioni 11 sio jezi pekee, wa jezi ni 1.5b kwa mwakaAcha kujizima data.ina maana ule mkataba wa billion 11 mliongia na gsm wa kuuza jezi au ufahamu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bilioni 11 sio jezi pekee, wa jezi ni 1.5b kwa mwakaAcha kujizima data.ina maana ule mkataba wa billion 11 mliongia na gsm wa kuuza jezi au ufahamu au?
Katika uzalishaji wa Jezi Yanga wameweka kiasi gani?Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/-
Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa
35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion
Haki kila mauzo ya jezi moja inayoingia clabuni kwetu 1300 zidisha 100,000= 130,000,000 million. Huu ni wizi hii haikibaliki.
View attachment 2675341
Wamekwambia wamepata hasara?Nini maana ya brand ya timu kama hakuna faida yeyote tunayoipata
Mfano yanga wakiuza jezi milioni mbili na nusu Yana watapata zaidi ya bilion 3 je Simba mkuuza jezi milioni 3 mtapata kiasi gani?Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/-
Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa
35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion
Haki kila mauzo ya jezi moja inayoingia clabuni kwetu 1300 zidisha 100,000= 130,000,000 million. Huu ni wizi hii haikibaliki.
View attachment 2675341
Kati ya Simba na yanga yupi anayejiendesha kwa faida?Katika uzalishaji wa Jezi Yanga wameweka kiasi gani?
Ndiyo maana huwa mnaishia kuwa mashoga sababu ya kupenda vya bure na kutojua mipaka yako.
Ile hela Yanga waliingiziwa ya mkataba wa b. 11 ilikua ni ya nini?
Anayepata faida.Kati ya Simba na yanga yupi anayejiendesha kwa faida?
Na ni yanga pekeeAnayepata faida.
Mambo ya Yanga waachie wenyewe. Wewe pambana kuzitafuta zile bilioni 20 za mwekezaji.Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/-
Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa
35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion
Haki kila mauzo ya jezi moja inayoingia clabuni kwetu 1300 zidisha 100,000= 130,000,000 million. Huu ni wizi hii haikibaliki.
View attachment 2675341
Nenda kwenye bajeti yenu tuoneshe kwenye mapato ya wadhamini kama utapata hiyo bilioni 1.5 ya jeziBilioni 11 sio jezi pekee, wa jezi ni 1.5b kwa mwaka
HAMNA KITU MNACHOJUA NYINYI WENGINEWanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/-
Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa
35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion
Haki kila mauzo ya jezi moja inayoingia clabuni kwetu 1300 zidisha 100,000= 130,000,000 million. Huu ni wizi hii haikibaliki.
View attachment 2675341
Msamehe Bure ameingia na garimoshi Leo asubuhUlikuwa Kijijini, umekuja leo mjini basi hata yaliyojili haujui. Tokea mwaka jana Yanga wameingia mkataba mnono na GSM kuhusu jezi.
View attachment 2675364
KamaNenda kwenye bajeti yenu tuoneshe kwenye mapato ya wadhamini kama utapata hiyo bilioni 1.5 ya jezi
Sportpesa 4bil
Azam 2.4
Haier 1.5
Afya???
GSM???
Yanga wametoa mtaji wa kuzalisha jezi? Wamemlipa designer?
Hata timu za EPL zinapata asilimia 20 Tu ya mauzo ya jezi
Kwamba EPL timu zote zina mikataba ya jezi inayofana
Yanga wametoa mtaji wa kuzalisha jezi? Wamemlipa designer?
Hata timu za EPL zinapata asilimia 20 Tu ya mauzo ya jezi
Hapana Boss,Wote wenye mikataba na Nike inafanana...na Nike ndo mkataba unaolipa kuliko wote
Wote wenye mkataba na Adidas inafanana...