Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Nini maana ya brand ya timu kama hakuna faida yeyote tunayoipataHizo jezi unafikiri yeye anatengeneza bei gani? Au unadhani anazichimba bure na hiyo 35,000 ukiondoa hiyo 1300 zinakwenda kwake?
Yanakuhusu nini wewe; je Sandaland na Vunjabei wamewapa ngapi?Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/-
Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa
35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion
Haki kila mauzo ya jezi moja inayoingia clabuni kwetu 1300 zidisha 100,000= 130,000,000 million. Huu ni wizi hii haikibaliki.
View attachment 2675341
Yanga wametoa mtaji wa kuzalisha jezi??wamemlipa designer??..
Hata timu za EPL zinapata asilimia 20 Tu ya mauzo ya jezi
Mhusika namba hajui! Seuze kujadili mikataba ya kibiashara?!Asilimia 20 kwenye 35k ndio hiyo 1300?
Kwenye bajeti yenu ukipiga hesabu hauonekaniAcha kujizima data.ina maana ule mkataba wa billion 11 mliongia na gsm wa kuuza jezi au ufahamu au?
Ya mkataba wa Kuuza jezi mbona hujaiweka?Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/-
Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa
35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion
Haki kila mauzo ya jezi moja inayoingia clabuni kwetu 1300 zidisha 100,000= 130,000,000 million. Huu ni wizi hii haikibaliki.
View attachment 2675341
Huyo koloKabla ya GSM ulikua unapata bei gani? Na je ww ni mwanachama hai yani active kwa kulipia ada ya kadi? Tuanzie hapo kwanza
Eti nyingine yote GSM, huyo GSM hizo jezi anakunya au? Hamjui kuna gharama kibao ikiwemo kuzizalishaWanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja?