Ukatili huu wanaoufanya GSM dhidi ya Yanga SC haukubaliki; wana-Yanga tuungane kuupinga

Acha kujizima data.ina maana ule mkataba wa billion 11 mliongia na gsm wa kuuza jezi au ufahamu au?
Bilioni 11 sio jezi pekee, wa jezi ni 1.5b kwa mwaka
 
Katika uzalishaji wa Jezi Yanga wameweka kiasi gani?
Ndiyo maana huwa mnaishia kuwa mashoga sababu ya kupenda vya bure na kutojua mipaka yako.
Ile hela Yanga waliingiziwa ya mkataba wa b. 11 ilikua ni ya nini?
 
Mfano yanga wakiuza jezi milioni mbili na nusu Yana watapata zaidi ya bilion 3 je Simba mkuuza jezi milioni 3 mtapata kiasi gani?
 
Katika uzalishaji wa Jezi Yanga wameweka kiasi gani?
Ndiyo maana huwa mnaishia kuwa mashoga sababu ya kupenda vya bure na kutojua mipaka yako.
Ile hela Yanga waliingiziwa ya mkataba wa b. 11 ilikua ni ya nini?
Kati ya Simba na yanga yupi anayejiendesha kwa faida?
 
Mambo ya Yanga waachie wenyewe. Wewe pambana kuzitafuta zile bilioni 20 za mwekezaji.
 
Bilioni 11 sio jezi pekee, wa jezi ni 1.5b kwa mwaka
Nenda kwenye bajeti yenu tuoneshe kwenye mapato ya wadhamini kama utapata hiyo bilioni 1.5 ya jezi

Sportpesa 4bil
Azam 2.4
Haier 1.5
Afya???
GSM???
 
HAMNA KITU MNACHOJUA NYINYI WENGINE
 
Angetupa 1000 ingekuwa poa zaidi napenda Hawa watu wanaowekeza kwenye michezo hasa soccer wanufaike sana ili wafanye na wengine watamani kuwekeza kwenye michezo
Na wawalipe wachezaji stahiki nzuri mtu akistaafu awe na nyumba gari mradi na uwekezaji mwingine
 
Nenda kwenye bajeti yenu tuoneshe kwenye mapato ya wadhamini kama utapata hiyo bilioni 1.5 ya jezi

Sportpesa 4bil
Azam 2.4
Haier 1.5
Afya???
GSM???
Kama

Diara atabaki ni sawa tu .

Mayele akibaki ni sawa tu .

Sure Boy akibaki ni sawa tu.

Mudathir akibaki ni sawa tu.

IbraBacca akibaki ni sawa tu.

BakariNondo akibaki ni sawa tu.

KibwanaShomari akibaki ni sawa tu.

Aucho akibaki ni sawa tu.

DicsonJob akibaki ni sawa tu.

Musonda akibaki ni sawa tu.

Bangala na Lomalisa wakimalizia msimu ujao ni sawa tu

Na kama jezi tunazonunua ni Mali yetu halali ni sawa tu .....
 
Yanga wametoa mtaji wa kuzalisha jezi? Wamemlipa designer?

Hata timu za EPL zinapata asilimia 20 Tu ya mauzo ya jezi

Kwamba EPL timu zote zina mikataba ya jezi inayofanana?
 
Kwamba EPL timu zote zina mikataba ya jezi inayofana

Wote wenye mikataba na Nike inafanana...na Nike ndo mkataba unaolipa kuliko wote
Wote wenye mkataba na Adidas inafanana...
 
Yanga wametoa mtaji wa kuzalisha jezi? Wamemlipa designer?

Hata timu za EPL zinapata asilimia 20 Tu ya mauzo ya jezi

Hiyo 1300/= waliyoipata yanga ni sawa na asilimia 3.7 ya mauzo!
Tofaauti ni kubwa mno ukilinganisha na timu za EPL ulizosema zinapata asilimia 20.
 
Wote wenye mikataba na Nike inafanana...na Nike ndo mkataba unaolipa kuliko wote
Wote wenye mkataba na Adidas inafanana...
Hapana Boss,
Itategemea pia na ukubwa wa timu. Arsenal na Wolves hawawezi kulipwa sawa hata kama mdhamini wao wa jezi ni mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…