M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Oct 6, 2022 #1 Watoto wanapigwa kwa kudokoa mboga. Watoto wanachomwa moto kwa kuiba dagaa Watoto wanafinywa kwa visu. Watoto wanashindia uji. Lakini mabwanyenye wa CCM wapo busy kula maisha.
Watoto wanapigwa kwa kudokoa mboga. Watoto wanachomwa moto kwa kuiba dagaa Watoto wanafinywa kwa visu. Watoto wanashindia uji. Lakini mabwanyenye wa CCM wapo busy kula maisha.
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 Oct 6, 2022 #2 Nyumba unakuta ina watoto zaidi ya kumi na ukicheki bei ya unga, mchele, maharage daah watoto watapata taabu sana Nwingulu watoto wapo Feza wanakula Pizza Capricciosa.
Nyumba unakuta ina watoto zaidi ya kumi na ukicheki bei ya unga, mchele, maharage daah watoto watapata taabu sana Nwingulu watoto wapo Feza wanakula Pizza Capricciosa.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,433 Reaction score 56,810 Oct 6, 2022 #3 Ukweli kabisa