Ukatwe govi bila ngazi au uwe shahidi kwenye kesi ya Lissu ya uhaini. Kipi utachagua?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Wakuu sikuwahi fikiria kama ushahidi ni kazi namna hii hasa ukiwa ushahidi wa mchongo.

Mara 100 nikatwe govi langu kwa shoka tena bila ngazi kuliko kuwa shahidi upande wa mashitaka kesi ya Lissu.

Asee naona hali si hali huko kwenye kizimba. Tangu mwanzo wakiwa Live hao police ilionekana wana uwezo mdogo sana wa kiakili.

Sasa hili la juzi na Jana nawahurumia Kisha nacheka tu namna wanavyobanwa.

Hata kama hela inatafutwa hivyo kwangu hapana.

Yamkini yule police wa mwanzo mwanzo aliyeambiwa alienda kusomewa mafiriji Kenya na yule mpiga doria mtandaoni ukiwaambia warudi wakatoe ushahidi Sina hakika kama watakubali.

Maana niliona baada ya kumalisa kuulizwa maswali alitoka nduki vibaya mno.
 
Sisi Jamhuri tulichoamua ni kumpotezea Muda Lissu na kujivua nguo Mbele za Wakwe zetu Wazungu!!
 
1771086604264.png

Hivi kweli CHAMAZI ni Shahidi wa SIRI?
 
Wakuu sikuwahi fikiria kama ushahidi ni kazi namna hii hasa ukiwa ushahidi wa mchongo.

Mara 100 nikatwe govi langu kwa shoka tena bila ngazi kuliko kuwa shahidi upande wa mashitaka kesi ya Lissu.

Asee naona hali si hali huko kwenye kizimba. Tangu mwanzo wakiwa Live hao police ilionekana wana uwezo mdogo sana wa kiakili.

Sasa hili la juzi na Jana nawahurumia Kisha nacheka tu namna wanavyobanwa.

Hata kama hela inatafutwa hivyo kwangu hapana.

Yamkini yule police wa mwanzo mwanzo aliyeambiwa alienda kusomewa mafiriji Kenya na yule mpiga doria mtandaoni ukiwaambia warudi wakatoe ushahidi Sina hakika kama watakubali.

Maana niliona baada ya kumalisa kuulizwa maswali alitoka nduki vibaya mno.

Nikatwe kichwa kabisa. Si kwa kudhalilishwa huko mbele ya kadamnasi
 
Back
Top Bottom