BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Ukawa bado wanaweza kuhamasisha watu wajiandikishe na pia kuwataka wasishiriki kwenye kura ya maoni ya kiba ya Maintarahamwe, hilo linawezekana kabisa. Watanzania kwanini tushiriki katika katika katiba ya maoni ambayo si yetu? bali ni ya wahuni na mafisadi walioamua kufanya uharamia kuchakachua maoni kutoka kwa Watanzania yaliyokusanywa na Tume ya Warioba?
Mkuu nakuelewa...
But impact ya kura ya maoni kwenye suala la kuhamasisha uandikishaji wapiga kura (uandikishaji ambao ndio utakaotumika katika uchaguzi mkuu ujao), pamoja na morale nzima ya ushiriki wa uchaguzi huo ni kubwa na sio ya kubeza...