Mkuu nakuelewa...
But impact ya kura ya maoni kwenye suala la kuhamasisha uandikishaji wapiga kura (uandikishaji ambao ndio utakaotumika katika uchaguzi mkuu ujao), pamoja na morale nzima ya ushiriki wa uchaguzi huo ni kubwa na sio ya kubeza...
mkuu we huna akili zaidi prof lipumba wewe! Wale walishaona mbali mpaka kutoa tamko hill! We jikanyage tuSababu kubwa ni moja: Huu mchakato unaambatana pamoja na mambo mengine, kuandikisha wapiga kura katika daftari la kudumu.
Kugomea mchakato katika hatua hii, ina maana supporters wao watakuwa demoralized hata kujiandikisha. Watakaojiandikisha watakuwa wale wanaoiunga mkono katiba ambao majority ni wafuasi wa CCM. As a result, ikifika uchaguzi october mikutano yetu itajaa watu kama kawaida but hawatapiga kura...
Niwahakikishie UKAWA kuwa, under no circumstance katiba inayopendekezwa inaweza ikapita. Tuitumie hii fursa kama sehemu ya kuwaandaa wananchi wetu kisaikolojia kupiga kura kwa wingi uchaguzi mkuu baadae mwaka huu. Tukijenga spirit ya kugoma, tukawapa CCM uwanja wa kuzunguka majukwaa nchi nzima sasa, hakika wafuasi wao watakuwa tayari zaidi kisaikolojia kwa ajili ya uchaguzi mkuu, na watashinda kiulaini sana...
Uchaguzi huu utumike kama sehemu ya kujijengea uwezo wa kuendesha kampeni, kushawishi wapiga kura na kusimamia kura... uwezo ambao utahitajika sana uchaguzi mkuu ujao...
Ni hayo tu...
Sababu kubwa ni moja: Huu mchakato unaambatana pamoja na mambo mengine, kuandikisha wapiga kura katika daftari la kudumu.
Kugomea mchakato katika hatua hii, ina maana supporters wao watakuwa demoralized hata kujiandikisha. Watakaojiandikisha watakuwa wale wanaoiunga mkono katiba ambao majority ni wafuasi wa CCM. As a result, ikifika uchaguzi october mikutano yetu itajaa watu kama kawaida but hawatapiga kura...
Niwahakikishie UKAWA kuwa, under no circumstance katiba inayopendekezwa inaweza ikapita. Tuitumie hii fursa kama sehemu ya kuwaandaa wananchi wetu kisaikolojia kupiga kura kwa wingi uchaguzi mkuu baadae mwaka huu. Tukijenga spirit ya kugoma, tukawapa CCM uwanja wa kuzunguka majukwaa nchi nzima sasa, hakika wafuasi wao watakuwa tayari zaidi kisaikolojia kwa ajili ya uchaguzi mkuu, na watashinda kiulaini sana...
Uchaguzi huu utumike kama sehemu ya kujijengea uwezo wa kuendesha kampeni, kushawishi wapiga kura na kusimamia kura... uwezo ambao utahitajika sana uchaguzi mkuu ujao...
Ni hayo tu...
Hakuna haja ya kugoma,UKAWA waingie ulingoni kutoa elimu kwa wananchi waeleze ubaya wa katiba hiyo na athari zake,wawahamasishe wananchi watumie haki yao ya kuikataa katiba kwa njia ya kura kama wao walivyotumia haki yao ya kutoka bungeni ili wasishiriki kuipitisha rasimu ya katiba.
Ikitokea wakashindwa na CCM wakafanikiwa kuipitisha katiba ambayo haitokani na matakwa ya wananchi,UKAWA wajipange kuchukua utawala,wakifanikiwa katika hilo ndipo wajipange tena kuirekebisha katiba iendane na matakwa ya wananchi.
Mkuu hivi unafikiria CCM wanaandaa kura ya maoni huku wakitegemea kushindwa? Mimi nakuambia kwa uhakika kabisa usio na chembe ya shaka kuwa CCM wamejiandaa ''kushinda'' kwa gharama yoyote. Zilichakachuliwa za wajumbe ambao wamekaa sehemu moja na wanapigia kura hapo hapo ije kuwa za watu zaidi ya milioni 5 ambao wamesambaa nchi kubwa na yenye miundo mbinu mibovu kama hii! Kujitoa ni njia nzuri sana ila kampeni isiishie tu kwenye vyama vya siasa bali isambae vyuoni, misikitini, makanisani, makazini na kila mahali kuwa hili zoezi ni haramu hivyo asijitokeze mtu hata mmoja. Na bila shaka CCM watatumia kila hila kuwavutia watu waende kupiga kura na kuchakachua ili ionekane watu wengi wamepiga kura lakini wacha historia ihukumu na siku zote uongo hautashinda ukweli. Hapo walipo ma-CCM wameshajiandaa kila kitu wanangojea siku ya kura tu ili waibe. Kama wanaapisha wajumbe feki wa mtaa walioshindwa ije iwe hizi kura ambazo hazionekani?
Tuko,
..uko sahihi by 50%.
..katiba kugomewa huku Tanganyika siyo jambo linaloweza kuitisha CCM.
..lakini Znz wakigoma ni jambo kubwa na la hatari sana ktk muungano wetu.
..kumbuka kwamba katiba inabidi ikubaliwe pande mbili za muungano, Tanganyika na Zanzibar.
cc Barubaru, takashi, Kibunango, Nguruvi3, GHIBUU
Mkuu hivi unafikiria CCM wanaandaa kura ya maoni huku wakitegemea kushindwa? Mimi nakuambia kwa uhakika kabisa usio na chembe ya shaka kuwa CCM wamejiandaa ''kushinda'' kwa gharama yoyote. Zilichakachuliwa za wajumbe ambao wamekaa sehemu moja na wanapigia kura hapo hapo ije kuwa za watu zaidi ya milioni 5 ambao wamesambaa nchi kubwa na yenye miundo mbinu mibovu kama hii! Kujitoa ni njia nzuri sana ila kampeni isiishie tu kwenye vyama vya siasa bali isambae vyuoni, misikitini, makanisani, makazini na kila mahali kuwa hili zoezi ni haramu hivyo asijitokeze mtu hata mmoja. Na bila shaka CCM watatumia kila hila kuwavutia watu waende kupiga kura na kuchakachua ili ionekane watu wengi wamepiga kura lakini wacha historia ihukumu na siku zote uongo hautashinda ukweli. Hapo walipo ma-CCM wameshajiandaa kila kitu wanangojea siku ya kura tu ili waibe. Kama wanaapisha wajumbe feki wa mtaa walioshindwa ije iwe hizi kura ambazo hazionekani?
Tunajua tunachokifanyaSababu kubwa ni moja: Huu mchakato unaambatana pamoja na mambo mengine, kuandikisha wapiga kura katika daftari la kudumu.
Kugomea mchakato katika hatua hii, ina maana supporters wao watakuwa demoralized hata kujiandikisha. Watakaojiandikisha watakuwa wale wanaoiunga mkono katiba ambao majority ni wafuasi wa CCM. As a result, ikifika uchaguzi october mikutano yetu itajaa watu kama kawaida but hawatapiga kura...
Niwahakikishie UKAWA kuwa, under no circumstance katiba inayopendekezwa inaweza ikapita. Tuitumie hii fursa kama sehemu ya kuwaandaa wananchi wetu kisaikolojia kupiga kura kwa wingi uchaguzi mkuu baadae mwaka huu. Tukijenga spirit ya kugoma, tukawapa CCM uwanja wa kuzunguka majukwaa nchi nzima sasa, hakika wafuasi wao watakuwa tayari zaidi kisaikolojia kwa ajili ya uchaguzi mkuu, na watashinda kiulaini sana...
Uchaguzi huu utumike kama sehemu ya kujijengea uwezo wa kuendesha kampeni, kushawishi wapiga kura na kusimamia kura... uwezo ambao utahitajika sana uchaguzi mkuu ujao...
Ni hayo tu...
Mkuu tusijidanganye kuwa UKAWA wasipopiga kura hakutakuwa na wapiga kura vituoni... iwe Pemba wala Unguja. .
Na usishangae matokeo yakatangazwa kuwa asilimia 98 ya wananchi wenye haki ya kupiga kura walipiga...
Ukawa bado wanaweza kuhamasisha watu wajiandikishe na pia kuwataka wasishiriki kwenye kura ya maoni ya kiba ya Maintarahamwe, hilo linawezekana kabisa. Watanzania kwanini tushiriki katika katika katiba ya maoni ambayo si yetu? bali ni ya wahuni na mafisadi walioamua kufanya uharamia kuchakachua maoni kutoka kwa Watanzania yaliyokusanywa na Tume ya Warioba?
Maamuzi ya UKAWA ya kugomea kura ya maoni ya katiba ya Maintarahamwe ni maamuzi ambayo yanastahili kupongezwa. Itakuwaje wakubali kushiriki katika kura ya maoni ya Maintarahamwe ambayo waliyagomea na kuamua kutoka nje ya majadiliano ya Bunge la katiba na juhudi zao za kutaka maoni ya Watanzania yasichakachuliwe hayakuwa na mafanikio yoyote. Hongera sana UKAWA kwa msimamo thabiti kuhusiana na uhuni na uharamia wa Maintarahamwe.