DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Ongezea nyama,la sivyo mods watai2pa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo kama babu yako alikuwa analilia hayo ulitaka iweje,kwamba hao wapinzani wakipata nchi watampa uDC,They have long and wrong way to go kwasababu wote wamejaa wenyemaslahi binafsi
Wachache sana watakuelewa unamaanisha ninikwasasa hao NCCR na CUF wanamvuto gani ambao utaongeza credit kwa CDM,.?
hebu tuangalie chaguzi ndogo za hivi karibuni ambazo CCM wameshinda na CDM ikishikifuatia, tukijaribu kuunganisha kura zote za upinzani zingekaribia za CCM?? labda mnieleweshe vizuri.
Kweli Elimu Inamaana sana. Nimejifunza kila mara tukiunganisha nguvu, Kiongozi wa chadema (mbowe) anakuwa wa mwisho katika ranking. prof.Ibrahin, Then James Mbatia, Then Mbowe. Hakuna wakati mwenyekiti wa Chadema kapewa nafasi ya kuwakilisha kundi hili. I am afraid hawa jamaa wasiturudishe nyuma 2015 kwakutaka lipumba ndiye atuwakilishe kwani cuf haina tena nafasi.
Tanzania aisee hamna vyama vya upinzani wote ni cowards wa chama tawala,CUF si ndo inasemekana walifung ndoa na ccm?sasa iweje CDM inaungana nao hao hao?unakumbuka issue ya Wenje kuwaambia CUF ni maliberali wana support ushoga?
Watahangaika sana mwisho watajiunga na ccm wote
wameshindwa kuongoza familia zao nchi ndio wataiweza?
sawa sheikh yahaya.