Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Note
baada ya taarifa hii CCM wameanza kuipotosha na kuwachokonoa wanaCHADEMA eti kuwa umoja huu ndo kifo cha Chadema. inshort tunajua CCM hampendi ushitikiano huu

Tutashilikiana mpaka ikulu. Peoples...

Power.
 
Nimepata tarifa toka kwa mtonyaji aliyepo zanzibar kwamba ukawa walikaa kikao na kuamua kuunda chama kimoja ili uchaguzi ujao wa mwaka 2015 waweze kusimamisha mgombea urais mmoja.

mdukuzi wetu aliyepo zanzibar kabainisha kuwa kikao hicho kiliitishwa na katibu mkuu wa cuf maalim seifu ambaye pia ndiye aliyeweka hoja hio mezani.

Baada ya majadiliano sefu alishauri cuf zanzibar iachwe kama ilivyo lakini huku bara waipotezee kuwa cuf haina nguvu bara hivyo ni vema kuelekeza nguvu zanzibar ambapo kinawatu wengi.

mbali na hayo viongozi hawa walekubaliana kuwa kwa cuf na nccr mageuzi hazina mashabiki walioweki hivyo ni vema ziendelee kubaki lakini ziwe na viongozi ambao siyo imara ili kutoa fulsa kwa ukawa kuwa chenye nguvu.

jambo la ajabu kidogo ni pale sefu anapowapa ushauri mwenzake kuwa waachane na vyama vyao wakati huku yeye akibaki na chama chake.

Napata shida kama hawa watu kweli mambo wanayofanya mungu anabaraka nayo mwangalie mbatia alivyo,mbowe na lipumba ni watu ambao lengo lao kuu ni madaraka wala siyo kingine.

Kilichonyuma ya pazia ni kwamba sefu amesema hawezi kushinda kiti cha urais kama cuf itakuwa kama ilivyo hivyo anataka cuf ibaki zanzibar huku akiwa tayari kuwasaidia ukawa kushinda bara.

katika mchakato huu Lazima litatokea la kutokea nasubiri nione ukawa inavyobadiliki na kuwa chama cha siasa kwani kwa mujibu wa kikao hicho chadema kitatoa mgombea urais na cuf itatoa makamu wa Rais kama watashinda mbatia atakuwa waziri mkuu kazi kweli.
 
Hakuna mwanasiasa asiyependa MADARAKA ,wote wako sawa tu haijalishi yupo upinzani au Chama tawala.Kama chama tawala hawapendi MADARAKA kwa nini wanatumia nguvu nyingi kuvunja upinzani?Hongo/rushwa kwa wapiga kura na hata kwenye kugombea tu uongozi ndani ya CCM bado wanatoa pesa nyingi ili wapate uongozi,je hilo nalo tunalisemeaje?

Usijaribu kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzao wakati jichoni kwako kuna boriti.Na pia kumbuka sheria ya dhahabu inasemaje?
 
Siko mbali sana na wewe mkuu zitto aliwahi kusema kuwa wanasiasa siyo watu wa kuamini wawe wa upinzani au wa chama tawala.
kitu ambacho najaribu kutazama kwa mbali kama mbatia atajitenga na chama chake ,lipumba akafanya hivyo kadhalika mbowe pia imani yao kwa jamii itakuwa kwenye kiwango gani,itapungua au watazidi kuaminiwa?
 
Ni jambo la busara endapo watakubaliana 99% ya mambo yote. Kuitoa ccm madarakani ni vyama vya upinzani kuungana na kusimamisha viongozi wa kila chama kugombea ubunge kule wanakokubalika zaidi. Pindi wakikamilisha hilo basi wanaunda serikali mseto.Kuwa na mawaziri wa vyama tofauti kupunguza ukiritimba. ccm watajua kwamba Watanzania wana maamuzi tofauti. Mimi nawaombea kila la heri ila msikurupuke kwa hili viongozi wa juu wa vyama vyote.
 
Yes,uko sahihi kwa sasa muungano huu bado uko kwenye hatua ya viongozi hebu tupia jicho likifika kwa wanachama watalionaje japo sisi tunaliona ni jambo jema,je wanachama watalichukuliaje jaribu kubashili mkuu.
 
Katika moja ya kauli zake, Profesa Lipumba
alisema kwamba kuna chama kimoja kinataka
kuchukua madaraka ya nchi, lakini kinasaidiwa
na mataifa ya magharibi, yasiyoenzi wala
kuthamini imani ya Kiislamu.
 
Tuangalie pia kama mbowe akiicha chadema anaweza kupatikana mwanasiasa au wanasiasa wa kuiendeleza au kwa kauli mojaa wataizika chadema na kujiunga na ukawa ambacho kitakuwa ndiyo chama kipya kwa wakati huo.
 
Katika moja ya kauli zake, Profesa Lipumba
alisema kwamba kuna chama kimoja kinataka
kuchukua madaraka ya nchi, lakini kinasaidiwa
na mataifa ya magharibi, yasiyoenzi wala
kuthamini imani ya Kiislamu.
Hapa ndipo ninapata shida na wanasias bado nazidi kuamini kuwa wanasiasa wanasema ukweli juu y majina yao tu mengine full kudanganya hapo lipumba hakumbuki tena kama alisema hayo leo ameungana nacho kuunda ukawa.
 
Huku akisisitiza juu ya umuhimu wa
mshikamano wa kiimani, Profesa Lipumba
alianza kwa kuzungumzia matokeo ya uchaguzi
mkuu wa 2010, na ushindani mkali wa kisiasa
uliokuwapo.
Alisema hawaoni matunda ya jitihada
walizofanya kumnusuru Rais Kikwete
asishindwe, kwani hata chini ya uongozi wake,
Waislamu wameendelea kutothaminiwa.
“Ninyi masheikh mnajua vizuri zaidi hali ya
kisiasa ilivyokuwa, kwamba ilibidi zifanyike
juhudi za makusudi ili kuokoa jahazi. Lakini
pamoja na kuliokoa jahazi, hali halisi
inaonyesha mpaka sasa hakuna matunda
yoyote yaliyopatikana, na tupo katika mtihani
mgumu zaidi,” alisema.
 
Hapa ndipo ninapata shida na wanasias bado nazidi kuamini kuwa wanasiasa wanasema ukweli juu y majina yao tu mengine full kudanganya hapo lipumba hakumbuki tena kama alisema hayo leo ameungana nacho kuunda ukawa.

Mkuu wengine hata majina wanadanganya mfano Mwigulu na Kasimu Majaliwa
 
Watahangaika sana mwisho watajiunga na ccm wote
Kama yumo mrema au the like tusitegemee kuuona huo muungano ukishamiri kwa kuwa wanayepambana naye siyo ccm tu bali na uwt hivyo shilingi itamwagwa ili kuwa sambaratisha na wanasiasa wetu wasivyo na uzalendo watajali matumbo yao na starehe zao. jioni njema.
 
Siko mbali sana na wewe mkuu zitto aliwahi kusema kuwa wanasiasa siyo watu wa kuamini wawe wa upinzani au wa chama tawala.
kitu ambacho najaribu kutazama kwa mbali kama mbatia atajitenga na chama chake ,lipumba akafanya hivyo kadhalika mbowe pia imani yao kwa jamii itakuwa kwenye kiwango gani,itapungua au watazidi kuaminiwa?

Nafikiri labda wanamakubaliano kama ilivyokuwa Kenya,orange ,banana nk.
 
Back
Top Bottom