Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaelekea mahala pazuri sasa
Chadema mwisho wenu umefika, toka lini Mbatia na Lipumba wakawa ndugu zenu?? Muwe makini sana
Siko mbali sana na wewe mkuu zitto aliwahi kusema kuwa wanasiasa siyo watu wa kuamini wawe wa upinzani au wa chama tawala.Hakuna mwanasiasa asiyependa MADARAKA ,wote wako sawa tu haijalishi yupo upinzani au Chama tawala.Kama chama tawala hawapendi MADARAKA kwa nini wanatumia nguvu nyingi kuvunja upinzani?Hongo/rushwa kwa wapiga kura na hata kwenye kugombea tu uongozi ndani ya CCM bado wanatoa pesa nyingi ili wapate uongozi,je hilo nalo tunalisemeaje?
Usijaribu kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzao wakati jichoni kwako kuna boriti.Na pia kumbuka sheria ya dhahabu inasemaje?
Kwa nini mkuu wema upi pengine wasaidie wanajukwaamkuwajuza.Binadamu hamna wema nyie .
Yes,uko sahihi kwa sasa muungano huu bado uko kwenye hatua ya viongozi hebu tupia jicho likifika kwa wanachama watalionaje japo sisi tunaliona ni jambo jema,je wanachama watalichukuliaje jaribu kubashili mkuu.Ni jambo la busara endapo watakubaliana 99% ya mambo yote. Kuitoa ccm madarakani ni vyama vya upinzani kuungana na kusimamisha viongozi wa kila chama kugombea ubunge kule wanakokubalika zaidi. Pindi wakikamilisha hilo basi wanaunda serikali mseto.Kuwa na mawaziri wa vyama tofauti kupunguza ukiritimba. ccm watajua kwamba Watanzania wana maamuzi tofauti. Mimi nawaombea kila la heri ila msikurupuke kwa hili viongozi wa juu wa vyama vyote.
Hapa ndipo ninapata shida na wanasias bado nazidi kuamini kuwa wanasiasa wanasema ukweli juu y majina yao tu mengine full kudanganya hapo lipumba hakumbuki tena kama alisema hayo leo ameungana nacho kuunda ukawa.Katika moja ya kauli zake, Profesa Lipumba
alisema kwamba kuna chama kimoja kinataka
kuchukua madaraka ya nchi, lakini kinasaidiwa
na mataifa ya magharibi, yasiyoenzi wala
kuthamini imani ya Kiislamu.
HAHAHAHAHAHAHAHAAH:behindsofa:
Hapa ndipo ninapata shida na wanasias bado nazidi kuamini kuwa wanasiasa wanasema ukweli juu y majina yao tu mengine full kudanganya hapo lipumba hakumbuki tena kama alisema hayo leo ameungana nacho kuunda ukawa.
Kama yumo mrema au the like tusitegemee kuuona huo muungano ukishamiri kwa kuwa wanayepambana naye siyo ccm tu bali na uwt hivyo shilingi itamwagwa ili kuwa sambaratisha na wanasiasa wetu wasivyo na uzalendo watajali matumbo yao na starehe zao. jioni njema.Watahangaika sana mwisho watajiunga na ccm wote
Siko mbali sana na wewe mkuu zitto aliwahi kusema kuwa wanasiasa siyo watu wa kuamini wawe wa upinzani au wa chama tawala.
kitu ambacho najaribu kutazama kwa mbali kama mbatia atajitenga na chama chake ,lipumba akafanya hivyo kadhalika mbowe pia imani yao kwa jamii itakuwa kwenye kiwango gani,itapungua au watazidi kuaminiwa?