Haji Salum
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 1,022
- 395
Ni wazo zuri lakini bila kuwa na tume huru ya uchaguzi na daftari jipya la wapiga kura, CCM wataendelea kujipachika ushindi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la arusha mapema jana katika mkutano wa [ukawa]katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo,chadema,dr wilbod slaa, alisema,tumefikia makubaliano kama [ukawa] 2015 kumsimamisha mgombea 1 katika nafasi ya urais,lengo letu sio kutafuta vyeo bali kuwakomboa wananchi watanzania waliopigika na mfumo wa chama cha mapinduzi,nilifarijika sana niliposikia maneno haya kutoka kinywani mwake,maana ndio mwisho wa chama cha mapinduzi umewadia,kimsingi ni kujipanga bara bara kusuka kikosi kazi kitakacho fanya kazi ya ziada kuhakikisha ccm haifurukuti kabisa,bg up [ukawa] pa1tutashinda,
Jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.
UKAWA wasimamishe mgombea ubunge mmoja kwa kila jimbo kutegemea na kukubalika kwa chama jimboni hapo. Kama ni Arusha basi UKAWA wasimamishe mgombea wa chadema, na kama ni Lindi UKAWA wasimamishe mgombea wa CUF.
Kwa kufanya hivyo viti vingi vya ubunge vitachukuliwa na UKAWA na kuinyima CCM nafasi ya kuwa na viti vingi bungeni.
Ni wazo zuri lakini bila kuwa na tume huru ya uchaguzi na daftari jipya la wapiga kura, CCM wataendelea kujipachika ushindi tu.
Jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.
Unajibishana na mwehu wewe soma comment zake utaona tuhuna jipya wewe,sema interahamwe wanajipanga na wizi wa kura kupitia hii tume yao ya uchaguzi na kwa kuwatumia policcm! Bila rushwa,hujuma za polisi na hii tume yao ya uchaguzi ccm wepesi sana,kabla ya misa ya kwanza tunashangilia ushindi kwa UKAWA
Hii ndiyo UKAWA!.
Kuutunza ulaghai ni kazi inayohitaji nguvu za shetani lakini nguvu za shetani haziwezi kupambana na nguvu za Mungu.
Ukweli wa kikundi cha UKAWA umeanza kujidhihirisha!.
Hii inadhihirisha kuwa, UKAWA hawako kwa ajili ya maslahi ya Katiba bali kwa ajili ya kugawana vyeo lakini kikubwa zaidi, wameanza kugawana vyeo wakati hawafahamu hata matokeo ya Mchakato wa Katiba. Wao wana mchakato wao wa kugawana madaraka bila hata ya kuwauliza wanachama wa vyama vyao.
Hawawezi kufanikiwa!.
Jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.
Hii ndiyo UKAWA!.
Kuutunza ulaghai ni kazi inayohitaji nguvu za shetani lakini nguvu za shetani haziwezi kupambana na nguvu za Mungu.
Ukweli wa kikundi cha UKAWA umeanza kujidhihirisha!.
Hii inadhihirisha kuwa, UKAWA hawako kwa ajili ya maslahi ya Katiba bali kwa ajili ya kugawana vyeo lakini kikubwa zaidi, wameanza kugawana vyeo wakati hawafahamu hata matokeo ya Mchakato wa Katiba. Wao wana mchakato wao wa kugawana madaraka bila hata ya kuwauliza wanachama wa vyama vyao.
Hawawezi kufanikiwa!.
Watu wanafanya siasa kama maigizo hawa ukawa pigo watakalopata hawatalisahu hata kidogo bado tunamda matokeo yake watayapata tu.