Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Ni wazo zuri lakini bila kuwa na tume huru ya uchaguzi na daftari jipya la wapiga kura, CCM wataendelea kujipachika ushindi tu.
 
Akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la arusha mapema jana katika mkutano wa [ukawa]katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo,chadema,dr wilbod slaa, alisema,tumefikia makubaliano kama [ukawa] 2015 kumsimamisha mgombea 1 katika nafasi ya urais,lengo letu sio kutafuta vyeo bali kuwakomboa wananchi watanzania waliopigika na mfumo wa chama cha mapinduzi,nilifarijika sana niliposikia maneno haya kutoka kinywani mwake,maana ndio mwisho wa chama cha mapinduzi umewadia,kimsingi ni kujipanga bara bara kusuka kikosi kazi kitakacho fanya kazi ya ziada kuhakikisha ccm haifurukuti kabisa,bg up [ukawa] pa1tutashinda,

Inaleta maana, but there is a long way still to go. Strategically wameanza na makosa, kwa kulitangaza hilo mapema. Nadhani kama tunataka kuona mabadiliko ya kimfumo na kiutawala, muhimu sana na lazima tuanze kuifanya hii vita more serious. Ni lazima tukubali kurudi kwenye enzi za SWAPO, FRELIMO na ANC. Vinginevyo tutajikuta palepale kila mwaka.

Kuna kazi ngumu zaidi ya kujiandaa, kisaikolojia na kiakili. Kwa muda huu walitakiwa kukaza kamba kwenye, kuanza na tathmini ya uhakika, ili kujua ni chama gani kina nguvu wapi! Hii itawasaidia kujua ni wapi wasimamishe mbunge wa chama gani. That way ubunge wataongeza viti vya kutosha kufanya maamuzi bungeni. Na ujinga wa Ndiyooo utaisha.

Halafu kuna kazi nyingine kubwa ya kuwaandaa wanachama na wananchi wengine kwa vita inayokuja. Wanachama wanapaswa waeleweshwe ni kwa nini vita hii ni muhimu. Hii hali ya sasa kwamba wananchi wanaona mageuzi ni kazi ya viongozi wa upinzani, hii mentality haiwezi kutufikisha. Ili tushinde ni lazima hii iwe ni vita ya wote. Wananchi waelimishwe na wahimizwe, na ikilazimu wasaidiwe kjua umuhimu wa kujiandikisha na kujisajili kupiga kura. Waeleweshwe umuhimu wa kupiga kura na wahakikishe wanapiga kura.

Kimsingi hatuhitaji rais kutoka upinzani, ingawa tukimpata itakuwa vizuri pia. Kilio changu ni Bunge letu. Kama wananchi wakiwa na zaidi ya nusu ya bunge, tutakuwa tumemaliza tatizo kubwa. Yaliyobaki yatajirekebisha yenyewe. Kutoka hapo tutakuwa na uhakika wa bajeti mbovu kutopita, tutaweza kuwadhibiti wezi wa mali za umma na tutakuwa na sheria bora zaidi kwani miswada ya kijinga haitapita.
 
Kama kweli wamenuia basi Mgombea wa urais awe Dr Slaa na mgombea mwenza awe Seif Shariff Hamadi. Hapo CCM itakuwa kwisha habari yake.. Huo ndio utakuwa mwisho wa huo muungano feki na ,mwanzo wa mamlaka kamili katika kila nchi.
 
Hii ndiyo UKAWA!.

Kuutunza ulaghai ni kazi inayohitaji nguvu za shetani lakini nguvu za shetani haziwezi kupambana na nguvu za Mungu.

Ukweli wa kikundi cha UKAWA umeanza kujidhihirisha!.

Hii inadhihirisha kuwa, UKAWA hawako kwa ajili ya maslahi ya Katiba bali kwa ajili ya kugawana vyeo lakini kikubwa zaidi, wameanza kugawana vyeo wakati hawafahamu hata matokeo ya Mchakato wa Katiba. Wao wana mchakato wao wa kugawana madaraka bila hata ya kuwauliza wanachama wa vyama vyao.

Hawawezi kufanikiwa!.
 
Mtatiwa adabu pamoja na kuweka mgombea mmoja kura zenu zote wanaukawa hazifiki hata robo ya kura za mgombea wa ccm,mnasikitisha sana mnadhani ninyi ndiyo mnafikiri peke yenu kumbe hata wenzenu wanafikra pia wakati ukifika majibu mtayapata tu.
 
Jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.

Kumbuka Lipumba ndiye aliyemsaidia Kikwete kurudi magogoni,2015 ndiyo basis tena
 
Watu wanafanya siasa kama maigizo hawa ukawa pigo watakalopata hawatalisahu hata kidogo bado tunamda matokeo yake watayapata tu.
 
UKAWA wasimamishe mgombea ubunge mmoja kwa kila jimbo kutegemea na kukubalika kwa chama jimboni hapo. Kama ni Arusha basi UKAWA wasimamishe mgombea wa chadema, na kama ni Lindi UKAWA wasimamishe mgombea wa CUF.

Kwa kufanya hivyo viti vingi vya ubunge vitachukuliwa na UKAWA na kuinyima CCM nafasi ya kuwa na viti vingi bungeni.

na ndiyo kitakachofanyika mkuu na kwenye kampeni tunabkisapoti hicho chama...
 
Jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.

huna jipya wewe,sema interahamwe wanajipanga na wizi wa kura kupitia hii tume yao ya uchaguzi na kwa kuwatumia policcm! Bila rushwa,hujuma za polisi na hii tume yao ya uchaguzi ccm wepesi sana,kabla ya misa ya kwanza tunashangilia ushindi kwa UKAWA
 
Unajibishana na mwehu wewe soma comment zake utaona tu
 
Hivi mnadhani ccm ni chama chepesi sana??? Hebu jaribuni kama mtaweza, mkipata hata nusu ya kura mimi nitakuwa wa kwanza kujitoa ccm.

Mandla.
 
Lipumba na Slaa wote ni wapenda madaraka...kuungana ni ndoto ya mchana. Sio kazi rahisi kuiondoa ccm madarakani,

ccm is there to stay for another 50 years.
 
Hii ndiyo UKAWA!.

Kuutunza ulaghai ni kazi inayohitaji nguvu za shetani lakini nguvu za shetani haziwezi kupambana na nguvu za Mungu.

Ukweli wa kikundi cha UKAWA umeanza kujidhihirisha!.

Hii inadhihirisha kuwa, UKAWA hawako kwa ajili ya maslahi ya Katiba bali kwa ajili ya kugawana vyeo lakini kikubwa zaidi, wameanza kugawana vyeo wakati hawafahamu hata matokeo ya Mchakato wa Katiba. Wao wana mchakato wao wa kugawana madaraka bila hata ya kuwauliza wanachama wa vyama vyao.

Hawawezi kufanikiwa!.

Ulaghai ni ule wakujifanya kutoa machozi jukwaani eti mtu mkubwa analilia wakulima wa tumbaku wanaibiwa na serikali ya chama anachokiongoza.
Suala la kujipanga kwa uchaguzi mwaka mmoja kabla sio kugawana vyeo bali mkakati. Na wanaufanya hivyo kwa vile dalili za mchakato huu wa katiba zinaonyesha CCM kwa ubishi na ubabe wao wataendelea na kufanya watakacho bila kujali athari zinazoweza tokea kwa vile imejaa viongozi wenye upeo mdogo.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.

Akili na siyo hakiri.
 
Wanaofanya siasa kama maigizo ni wale wanaobubujikwa machoz kwenye mikutano ya hadhara kisa wananchi wana hali ngumu ya kimaisha.
Tumieni akili zenu nyie wahun wa ccm matusi mengine mnajitukana wenyewe
 
Hii ndiyo UKAWA!.

Kuutunza ulaghai ni kazi inayohitaji nguvu za shetani lakini nguvu za shetani haziwezi kupambana na nguvu za Mungu.

Ukweli wa kikundi cha UKAWA umeanza kujidhihirisha!.

Hii inadhihirisha kuwa, UKAWA hawako kwa ajili ya maslahi ya Katiba bali kwa ajili ya kugawana vyeo lakini kikubwa zaidi, wameanza kugawana vyeo wakati hawafahamu hata matokeo ya Mchakato wa Katiba. Wao wana mchakato wao wa kugawana madaraka bila hata ya kuwauliza wanachama wa vyama vyao.

Hawawezi kufanikiwa!.

Mbona umepanic bro!? Wamewashika kubaya nini?

By the way CUF ina nguvu kusini, NCCR Magharibi, CHADEMA kaskazini na Nyanda za juu kusini plus Kanda ya Ziwa. Pia Nguvu ya ukawa inaweza kuleta tume mpya ya uchaguzi, daftari jipya la wapiga kura haliepukiki. Vijana wote TULIOSHIBA hatutaki MaCCM yenu mmebakiwa na vijana wenye njaa tu kama akina Makonda na Risasi Mwaulanga,,,, UNA HAKI YA KUPANIKI BRO SAVIMBI
 
Watu wanafanya siasa kama maigizo hawa ukawa pigo watakalopata hawatalisahu hata kidogo bado tunamda matokeo yake watayapata tu.

Pigo gani? Ccm toka vimeingia vyama vingi ccm aijawai kushinda kiuhalali
 
Akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la arusha mapema jana katika mkutano wa [ukawa]katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo,chadema,dr wilbod slaa, alisema,tumefikia makubaliano kama [ukawa] 2015 kumsimamisha mgombea 1 katika nafasi ya urais,lengo letu sio kutafuta vyeo bali kuwakomboa wananchi watanzania waliopigika na mfumo wa chama cha mapinduzi,nilifarijika sana niliposikia maneno haya kutoka kinywani mwake,maana ndio mwisho wa chama cha mapinduzi umewadia,kimsingi ni kujipanga bara bara kusuka kikosi kazi kitakacho fanya kazi ya ziada kuhakikisha ccm haifurukuti kabisa,bg up [ukawa] pa1tutashinda,

Wote ni wanafiki tu, lengo si kumkomboa mTanzania lengo ni kutafuta hela. Kama lengo kweli lingekuwa ni kumkomboa mtanzania kwanini babu mzinzi aliweka sharti kwa chama chake 2010 kwa atagombea Urais na kuacha ubunge alipwe mshahara na marupurupu yote sawa na mbunge wa JMT kwa kipindi chote cha miaka mitano 2010-2015 atakapokuwa nje ya bunge!.

Afterall inakuwaje mtu kama babu mzinzi Slaa anaaminika?!.
Kama alishindwa kuwa mwaminifu kwa Mungu wake kanisani hadi akafanya uzinzi na kuzaa na wake za watu wawili ilhali yeye ni padre!

KAMA BABU MZINZI SLAA KASHINDWA KUWA MWAMINIFU KWA MUNGU WAKE ALIEMUUMBA, KAMWE HATOWEZA KUWA MWAMINIFU KWA WATANZANIA ATAKAPOPEWA NCHI HII.

Kwahiyo hafai kuwa rais.

Sent From My Nokia Lumia 1520 Using Jamii Forum.
 
Back
Top Bottom