chogomzingwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 240
- 21
Mtatiwa adabu pamoja na kuweka mgombea mmoja kura zenu zote wanaukawa hazifiki hata robo ya kura za mgombea wa ccm,mnasikitisha sana mnadhani ninyi ndiyo mnafikiri peke yenu kumbe hata wenzenu wanafikra pia wakati ukifika majibu mtayapata tu.
najua kuliko unavyofikilia, nimekuwa mwanachama mtiifu ktk chama kinachofanya vizuri kwenye upinzani, lakini lipo tatizo tena kubwa, umejibu kirahisi sana, mimi nafanya siasa,nimefanya siasa, swala la kuweka mgombea mmoja kwenye ubunge HALITAWEZEKANA, NA LIKIWEZEKANA LITAIBUA MATATIZO MAKUBWA. upo utaniambiaKama we ni kijana na unataka kupenya, basi Ukawa ndio chaguo lako. UKAWA sio kama ccm ya kuangalia uzoefu na miaka mingi ya umbulula - wanaangalia kizazi kipya, na sera ya vyama vingi ni ya vijana na sio wazee. Wazee na waganga wa kienyejin chama chao kinajulikana.
Kuhusu kumpata mgombea wa ubunge, kutakua na vikao mahsusi vya kuteua ambavyo vitakua na viashiria vya kiyansi kabisa bila kumwangali mtu anatoka chama gani cha upinzania na ana uzoefu gani. Viashiria hivo kwa sasa ni siri ua Ukawa. Ila vipo , we ondoe woga ndugu yangu.
Wana Jf kuuliza sio ujinga bali ni kutaka kujua. Hivi nene "UKAWA" unamaanisha nini kwa kirefu? Naomba kujua please!
Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi, UKAWA wana mpango wa kuweka Mgombea Urais 2015
- Aidha, wana mpango wa kusimamisha mgombea ubunge mmoja katika majimbo
- Mbowe, Mbatia na Lipumba wazungumza na kudai ni mapema mno kutoa maelezo juu ya umoja wao!
- Vyama vimeshapeleka mapendekezo kwenye sekretarieti za vyama husika kwa ajili ya kufanyiwa uchambuzi wa kufanikisha hili
- Mbowe adai kuunganisha nguvu ya vyama vya upinzani ni suala ambalo halikwepeki kwakuwa Siasa za sasa ni dynamic (zinabadilika) na fikra za jana ni tofauti na za leo.
- Lipumba adai Katiba imewaunganisha wapinzani na kuongeza kuwa huu ni mwanzo mzuri unaoweza kutoa mwanga wa nini kitatokea mbeleni.
- Mbatia asisitiza kuwa suala la wapinzani kuungana si la kujadili maana ndiyo mahitaji ya wananchi kwa sasa!
Mumeo Zitto ni kijana?Tatizo lenu mna log in mmeshakunywa gongo, babu amewaharibu sana.
Kweli kabisa!.. Alikufanyia nini?... Umejuaje?Slaa siyo dr, yeye ni Mzinzi Mkuu na Padre muasi.
Slaa siyo dr, yeye ni Mzinzi Mkuu na Padre muasi.
Watu wanafanya siasa kama maigizo hawa ukawa pigo watakalopata hawatalisahu hata kidogo bado tunamda matokeo yake watayapata tu.
Kwa nin sio Dr? pia amezini na nani ukakereka hvyo? kwani ukishafanya kazi ya Padri huruhusiwi kufanya tena kazi ya kukomboa watu kimwili?