Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

kwani mzee Warioba kakwambia naye ni bokoharam? vichaa tu ndo wanaweza kujiunga na hilo genge(ukawa) kama huyu akiwa na nyomi ya watu.



 
we unadhani akili ya walioba ni kama ya chadema? hilo ni genge la wahuni


...................
 
hii ni kutokana na kukubalika na watanzania wote ushauri wangu wamteue mzee huyu tuibwage ccm
 
Katika mambo yatakayowakosesha UKAWA uraisi 2015 ni suala la nani ateuliwe kugombea. Na jambo hili linaweza kuwasambaratisha kama hawatalitafutia ufumbuzi mapema. huku wengine walishakariri Slaa awe raisi wengine wamekariri Lipumba ndio raisi. Ukichanganya na arogancy za kidini utashangaa muafaka haupatikani. Tehetehetehe.
 
Ukiangalia kazi iliyofanyika uchaguzi mkuu uliopita,kwa upande wa upinzani CDM walifanya vizuri na ningependekeza katika uchaguzi ujao DR SLAA asimame kwa UKAWA,zaidi ya hapo itakuwa ngumu,kwani CHADEMA tayari wana mtaji.
 
wazo lako jema lakini ngoja tusubirie na kwa muda huu tulio nao tuimarishe chama chetu na tupiganie katiba kwa kushinikisza kwa maana ccm haikuwa agenda zao
 
Uzi huu ni sura nyingine tu ya fitina zilezile za Interahamwe zenye lengo la kuibomoa UKAWA. Mshindwe na mlegee! Ajenda ya sasa ya UKAWA, siyo nani atakuwa mgombea Urais wa UKAWA, bali ni KATIBA MPYAAAAAAAA !!!!!!!! Mgombea Urais, bila Katiba Mpya, ni kujaza maji kwenye gunia. Hata mlete fitina za kiasi gani za kutuchonganisha, hamuwezi kututoa hapo, tafuteni biashara nyingine ya kufanya, tunazijua hila zenu, TUMEWASHITUKIAAAAAAAAA!!!!!!!
 
We ni chadema mzaliwa wa kanda ya kazkazini kale ka ugonjwa ka ukabila kamekuwa sugu kwako.
 
Tatizo la Slaa ni umri. Mpeni haki yake ya kupumzika. Kwani hakuna mwingine anayekubalika zaidi ya Mzee Slaa huko UKAWA?
 


Tahadhari kubwa inahitajika katika kufikia maamuzi kuhusu suala hili.

Na Kama mtihani wa majaribio uchaguzi wa Serikali ya mitaa 2014 uwe kama sehemu ya Utafiti wa hatua hii.


CC. Kurugenzi ya Habari, Ben Saanane , Tumaini Makene Mzee Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:
Wana jamvi kwakua ukawa kwa pamoja wanakwenda chukua nchi october 2015,naomba mtoe mapendekezo nani anafaa kugombea urais kata tutabakia na mfumo wa serikali 2,nani mgombea mwenza na nani aje kua waziri mkuu,pia mgawanyo wa majimbo uweje kutokana na nguvu ya chama
 



Rais napendekeza Awe ni Prof. Lipumba ili kuzoa kura nyingi,majimbi mengi ,madiwani wengi na kuonda propaganda za CCM .MGOMEA MWENZA Jussa au Duni Haji.
Waziri mkuu awe ni Dr. Slaa .Rais wa Zanzibar Maalim Seif.
Mbowe achukue nafasi ya Lukuvi.
Mwanasheria mkuu Lissu.Ujenzi Mtatoro n.k.
KAMA tu lengo ni kuwakomboa watanzania dhidi ya Ukoloni wa CCM na vibaraka wake lakini ka ma lengo la wapinzani ni kila mmoja kataka kukalia kiti cha urais basi wang'ang'anie kugombea kila mmoja kusimamisha mgombea wake ili wapate ruzuku ambazo mwishowe wanazikosa kabisa.

Listi nilioitaja ni ya kujenga umoja wa watanzania na kusimamisha wagombea watakaoungwa mkono na watanzania wa kutoka kanda zote ,makabila yote na DINI zote.

Lakini endapo mgogoro utaibuka ndani ya CCM basi UKAWA uangalie namna kunyakua watu wenye nguvu kubwa ndani ya CCM kwani wataongeza wanachama pia.
 
Wazee wa Lumumba tafadhari mpotee mbali
wana Ukawa mnadhani ni nani anafaa kuwa mgombea kupitia Ukawa bila kujali umri
 
Pro lipumba au Dr. Slaa mwaka huu hatutaki mgombea anayeanza na Mh. ........

Tunahitaji Mh. Dk,Pro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…