House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Wazee wa Lumumba tafadhari mpotee mbali
wana Ukawa mnadhani ni nani anafaa kuwa mgombea kupitia Ukawa bila kujali umri
Wazee wa Lumumba tafadhari mpotee mbali
wana Ukawa mnadhani ni nani anafaa kuwa mgombea kupitia Ukawa bila kujali umri
wazee wa lumumba tafadhari mpotee mbali
wana ukawa mnadhani ni nani anafaa kuwa mgombea kupitia ukawa bila kujali umri
Misukule imekatazwa kuchangia mjadala huu.Dk.Godbless Lema.
Dk.Godbless Lema.
Misukule imekatazwa kuchangia mada hii.Dk.Godbless Lema.
hapa ndipo penye figisufigisu! Mdau hii mada uliyoianzisha si ndogo hata kidogo..! Kusambaratika au kuimarika kwa ukawa kunaweza kuanzia kwenye mada hii...! Naogopa hata kuanza kuijadili..!
Dr Godbless sana Lema....
Pro lipumba au Dr. Slaa mwaka huu hatutaki mgombea anayeanza na Mh. ........
Tunahitaji Mh. Dk,Pro
Hapa ndipo penye figisufigisu! Mdau hii mada uliyoianzisha si ndogo hata kidogo..! Kusambaratika au kuimarika kwa Ukawa kunaweza kuanzia kwenye mada hii...! Naogopa hata kuanza kuijadili..!