Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Wewe ni bunge la katiba 2014,....kwa hiyo ww ni samwel sitta ajitiae upofu
 
Ukawa wamewabana mbaya na mbado mpaka mpango wa Mungu utimie
 
we will live to remember chadema.........the history has been written,documented and published for future use
one of the title is....SOURCE, GROWITH,POPULARITY AND 'extinction' of chadema
 
Hii ni cr.ap.

Ukiwa na akili, hata kama unakusudia kutimiza mapenzi yako kwa chama fulani angalao utatumia maelezo yenye uhalisia.

Hivi katika uchaguzi wa mwisho, kati ya CUF, CHADEMA, CCM na NCCR, ni chama gani kiliongeza idadi kubwa ya wabunge na idadi ya kura za mgombea Urais? Unapoandika, ndipo watu hujua una akili kiasi gani au una kichwa boga kiasi gani.

 
Neno huwa halibeba dhima ya chama. Hivi CCM walifanya mapinduzi wapi mpaka wakaitwa chama cha MAPINDUZI. Hivi unajua mwanzo wa NCCR? Unatambua kuwa huo ulikuwa mwungano wa wanaharakati mbalimbali kwaajili ya kudai katiba? Ukiwa na historia finyu unaongelea pale upeo wako unapoishia. Leo hii watu wanaweza kuitwa Mkutano wa Umma na baadaye ikiwa ni movement ni inayoitwa Mkutano wa Umma, na baadaye ikawa ni chama au Umoja unaoitwa Mkutano wa Umma, inawezekana hilo. Kitakachokuwatofautisha ni agenda: Nini zilikuwa ajenda za Mkutano wa Umma, nini ajenda ya Movement ya Umma, na kinapokuwa chama au Umoja, ni nini malengo ya Chama/Umoja wa Mkutano wa Umma. Jina la chama au umoja ni kama jina la kampuni, huwa halielezei uhalali wake. Take this piece of knowledge.

Na kweli, umoja wa Katiba ya WANANCHI na Uchaguzi wapi na wapi?
 
Mimi ni CCM damu, ila linapokuja suala la maslahi kwa Taifa huwa CCM huwa inakuwa nambari MBILI. Manake tulio wengi huwa tunachezeshwa ngoma tusiyoijua na wapenda madaraka ili waendelee kututawala. Mzee Sinde Warioba pamoja na makada wenzetu wa CCM ambao waliteuliwa kukusanya maoni kwenye tume ya mabadiliko ya katiba walitanguliza Utanzania kwanza na kuacha UCCM kando na ndio maana wakaja na mapendekezo yaliyotokana na watanzania pamoja na kuangalia mahitaji ya sasa kwa Watanzania, cha ajabu wapenda Uraisi wakaona mapendekezo haya ya watanzania yanaweza yakawa kikwazo cha wao kusaka uraisi.

Ushauri wangu ni kwamba ili kazi iliyofanywa na tume ya Warioba ya kutuletea katiba mpya ambayo ndio mkataba kati ya watawala na watawaliwa na hivyo kuwa msingi mkuu wa maendeleo yetu, hivyo ningewashauri UKAWA waachane na kusaka uraisi na kumshawishi Mzee Warioba Akubali kusimama kama mgombea kupitia mgombea atakayeteuliwa na ukawa na hapo ndipo ukombozi wa Mtanzania utapatikana kwa kila mmoja wetu kuwaunga mkono.

Mkisimama peke yenu hamuwezi kuishinda CCM kwani wana fedha za kumwaga.
 
"Mbio za sakafuni huishia ukingoni".

Hapo kwenye nani awe mgombea wa kiti cha Urais ndiyo "ukingo" wa UKAWA.
 
Mods anzisheni jukwaa la "JF Mataahira"

 
Heading inawavutia ccm, habari inawachanganya ccm
 
Mimi ni CCM damu, ila linapokuja suala la maslahi kwa Taifa huwa CCM huwa inakuwa nambari MBILI.

Acha kutulaghai wewe ni CDM damu!

Kama sisiemu hebu weka kitambulisho chako hai humu! Unapaka mafuta huku tongo tongo zimejaa usoni.
 

Mkuu hata akisimama Warioba bado watamwaga fedha..... dawa ni kula hela za wajinga halafu kura unapiga kwa unayemtaka
 
Hakikisha umevaa helmet maana wana Lumumba watakurushia makobora ya maneno ya matusi si muda mrefu.
 
mi naona huo ujinga wako kaambie familia yako na mawazo ya kugawana madaraka yakogo ccm na warioba pia yukogo ccm kwedraaa mnuka damu mkubwaa ww
 
Hili LINCHI SIJUI TUMELIFANYA NINI SIJUI, BORA NYERERE ANGEWAWEKAGA WATOTO WAKE WAWE WANATUTAWALA TU.
 
mi naona huo ujinga wako kaambie familia yako na mawazo ya kugawana madaraka yakogo ccm na warioba pia yukogo ccm kwedraaa mnuka damu mkubwaa ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…