TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
issue inakuja nani atasimama kwa presidential post.
Usiongope, ninakumbukumbu, Mbowe mara baada ya kuingia bungeni, kulikuwa na mtafaruku fulani uliosababishwa na Rashid Hamad, alisema kwa sasa tutaunda peke yetu hadi majeraha yaliyotokea kipindi cha uchaguzi yapone kisha tutaangalia uwezekano wa kuunganisha kambi ya upinzani. Umeyasahau haya maneno?
Wewe unamtaka nani?!
CUF ilisha shuka daraja siku nyingi mkuu, CDM ndio wanajaribu wabaki hata wa mwisho ili mradi wawepo ligi ya mwaka kesho.Kwa nini sio CUF iliyoazima wachezaji?
Chadema imeshawahi kudai CUF chama cha kiislamu na lengo ni kuifanya Tanzania nchi ya kiislamu at the sametime CHADEMA kinasemekana ni cha kikristo na malengo yake ni kuimarisha mfumokristo ukioasisiwa na Mwl Nyerere. Wale walioshutumiana leo wanaungana. Vyema na mimi kutoka ndani ya moyo wangu nawaombea Muungano wenu uwe imara na wenye matunda ili CCM isibwete iongeze bidii kuwasaidia wananchi. Twawatakia kila kher
Hakuna kingozi wa kununuliwa hapo bali naona kuna mapandikizi tu. Walisha nunuliwa kabla hata ya kujiungaMkuu umeongea jambo la msingi sana, sio tu ccm isibweteke bali itikiswe kwa kila ngazi.
Naamini ikiwezekana upuuzi unaondelea Bungeni wa kupigia Makofi kila Pumba utaisha
Hofu yangu ni ghiriba na mbinu za ccm kuuwa upinzani kwa nguvu zote kuanzia propaganda mpaka fedha.
Ila najua kwenye propaganda wanaweza kushinda Hofu yangu ni kwenye Pesa tu kununua Viongozi waandamizi.!
Ccm ni kisiki cha mpingo
Wazo zur, ila nan atakae simama kugombea urais? Maana naona kila mtu hapo anautaka,Ni wazo zuri sana na ndicho watanzania tulikuwa tunahitaji. Ila mnahitaji kuweka mipango mikakati mizuri ili kuepuka migogoro hapo mbeleni. ALL THE BEST!
Hakuna kingozi wa kununuliwa hapo bali naona kuna mapandikizi tu. Walisha nunuliwa kabla hata ya kujiunga
Muungano huu unapaswa kuwepo lakini hautawezekana. wewe mtoa mada tayari umeshaonesha uroho wa madaraka.CUF ilisha shuka daraja siku nyingi mkuu, CDM ndio wanajaribu wabaki hata wa mwisho ili mradi wawepo ligi ya mwaka kesho.