Siasa za nchi yetu kuhusu muungano wa vyama kwa katiba iliyopo n wa kinadharia zaidi.
1: Uwepo wa ruzuku utawagombanisha UKAWA. watazigawanaje ruzuku? Tujadili kidogo.
2: sera za vyama UKAWA ni tofauti kati ya chama kimoja na kingine. Hii ni sawa na muungano wa tanganyika na zanzibar.
3:TUWE NA CHAMA KIMOJA CHA UPINZANI tofauti na hapo ni sawa na muungano wa serikali tatu. CCM,UKAWA na akina MREMA.
Muungano huu unapaswa kuwepo lakini hautawezekana. wewe mtoa mada tayari umeshaonesha uroho wa madaraka.
unasema cuf imeshuka daraja na chadema ndio mambo yote, mshabiki wa cuf naye atasema chadema wameishiwa sera sisi cuf ndio mpango mzima.
Ukawa mmeshindwa kabla filimbi haijapulizwa.ukiona watoto wanagombania nyama fahamu wametumwa na wazazi wao.
"MUUNGANO HUU UNAPASWA KUWEPO" ndivyo nilivyoanza.kwa kifupi hujapenda habari hii,manake wewe unaona kila kitu sawa,ulevi huo.
Mko kimya sana. Wananchi wanataka kujua kama mnarejea Bunge la Katiba litakaloendelea Agosti mwaka huu au la.Wananchi wanataka kusikia mmeamuaje baada ya kususia Bunge la Katiba. UKAWA jitokezeni hata kwenye vyombo vya habari na mueleze mambo haya. Ukimya wenu haututishi tu....bali pia unatufadhaisha,kutunyong'onyeza na kutukatisha tamaa wafuasi wa Serikali tatu.
Au mmeghairi kuhusu hoja za Serikali tatu?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
kaka, Mungu huwa na mipango yake!!Why CCM is doing this? Wamewaamsha walio lala... Sasa CCM inaonekana ITALALA...
Imefanikiwa kuwaunganisha WAPINZANI...
uhuru kenyata alikuwa chaguo la mzee moi akina raila wakaunda umoja na mwai kibaki. kanu ikashindwa na mwai akapata urais, uchaguzi uliofuata raila na mwai wakawa maadui. uhuru akajiunga na mwai. wakashinda urais. ruto akabaki na raila. uchaguzi huu uliopita uhuru na ruto wakaungana dakika za mwisho dhidi ya raila wakashinda uchaguzi wakati walikuwa mahasimu.Kwani Orange ya Kenya wanafanyaje,huo ni ulevi kwa ccm,haukubaliki.utaisoma kama wewe ni diwani au mbunge wa ccm,hatujui Hilo.
Mkuu VUTA-NKUVUTE ulipotelea wapi? Nilishaanza kupata mashaka kwa kupotea kwako jamvini.