Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

I believe kuwa now anaeitwa Dr katumia weredi wake vizuri,na anaeitwa Professor Katumia weredi wake vizuri,haya ndo mambo ya mjini,hutakiwi kuwa mjini alafu huwazi kidigital,viva ukawa,now deal jingine tume ya uchaguzi irekebishe daftari la wapiga kura.
 
Siasa za nchi yetu kuhusu muungano wa vyama kwa katiba iliyopo n wa kinadharia zaidi.
1: Uwepo wa ruzuku utawagombanisha UKAWA. watazigawanaje ruzuku? Tujadili kidogo.
2: sera za vyama UKAWA ni tofauti kati ya chama kimoja na kingine. Hii ni sawa na muungano wa tanganyika na zanzibar.
3:TUWE NA CHAMA KIMOJA CHA UPINZANI tofauti na hapo ni sawa na muungano wa serikali tatu. CCM,UKAWA na akina MREMA.

Kwani Orange ya Kenya wanafanyaje,huo ni ulevi kwa ccm,haukubaliki.utaisoma kama wewe ni diwani au mbunge wa ccm,hatujui Hilo.
 
Mungu aulinde uungano huo ni jambo la heri liwe lenye manufaa kwa tanganyika yetu na wananchi kwa ujumla.
 
Muungano huu unapaswa kuwepo lakini hautawezekana. wewe mtoa mada tayari umeshaonesha uroho wa madaraka.
unasema cuf imeshuka daraja na chadema ndio mambo yote, mshabiki wa cuf naye atasema chadema wameishiwa sera sisi cuf ndio mpango mzima.
Ukawa mmeshindwa kabla filimbi haijapulizwa.ukiona watoto wanagombania nyama fahamu wametumwa na wazazi wao.

kwa kifupi hujapenda habari hii,manake wewe unaona kila kitu sawa,ulevi huo.
 
Mko kimya sana. Wananchi wanataka kujua kama mnarejea Bunge la Katiba litakaloendelea Agosti mwaka huu au la.Wananchi wanataka kusikia mmeamuaje baada ya kususia Bunge la Katiba. UKAWA jitokezeni hata kwenye vyombo vya habari na mueleze mambo haya. Ukimya wenu haututishi tu....bali pia unatufadhaisha,kutunyong'onyeza na kutukatisha tamaa wafuasi wa Serikali tatu.

Au mmeghairi kuhusu hoja za Serikali tatu?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Mzee Tupatupa, Lengo ni kufanya mikutano nchi nzima ili kuwaambia wananchi ukweli halisi juu ya mchakato mzima unavyoendeshwa hadi kufikia hatua ya sisi kubwaga manyanga.

Lakini kama unavyojua vibali vimekuwa tatizo!!, Pale kibandamaiti tukaambiwa police hawatoshi kwani wengi wao walikuja Bara kwa shughuli za muungano na kama unavyojua hufanyi mkutano wowote ule bila kibali chao!
 
upinzani.jpg
 
Tatizo la kukacha dakika za majeruhi zitadhibitiwa vipi ?? Maana nakumbuka hii kuungana iliwahi kutokea halafu baadhi ya vyama vikajitoa katika Muungano na kuwagawa wapiga kura wao.:shock:
 
kwa kifupi hujapenda habari hii,manake wewe unaona kila kitu sawa,ulevi huo.
"MUUNGANO HUU UNAPASWA KUWEPO" ndivyo nilivyoanza.
ungeona niliye mnukuu wala usingenituhumu kuniita mlevi. Mpiga kura anapokipigia chama chake chapuo na kukiponda chama kingine chenye nia ya kuungana unadhani kuna muungano hapo? Mathalani ukimdharau mke wangu usitegemee mie nimsifu mkeo. very simple haiitaji masters.
anaposema CUF imeshuka daraja tuipe chadema mie wa CUF naona kama Chadema imeporomoka nipewe mimi cuf.
 
Tukirudi Bungeni Jeshi litachukua nchi , Tukirudi bungeni Komba ataingia msituni.

Hiki kitu hatupendi kwa kweli ukichanganya na show ya juzi pale Taifa na kauli ya Baba Riz kuwa wanaotaka serikali tatu watakiona cha mtema kuni tunaona bora tukae pembeni kimya huku tukiburudika na mipasho ya wana ccm pale Dodoma.
 
Mko kimya sana. Wananchi wanataka kujua kama mnarejea Bunge la Katiba litakaloendelea Agosti mwaka huu au la.Wananchi wanataka kusikia mmeamuaje baada ya kususia Bunge la Katiba. UKAWA jitokezeni hata kwenye vyombo vya habari na mueleze mambo haya. Ukimya wenu haututishi tu....bali pia unatufadhaisha,kutunyong'onyeza na kutukatisha tamaa wafuasi wa Serikali tatu.

Au mmeghairi kuhusu hoja za Serikali tatu?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Tunaogopa vile VIFARU kaka.:scared:
 
kwa mipango tu wapinzani hawajambo acha tuone na ubinafsi wao kama watafanikiwa kufanya hivo
 
Kwani Orange ya Kenya wanafanyaje,huo ni ulevi kwa ccm,haukubaliki.utaisoma kama wewe ni diwani au mbunge wa ccm,hatujui Hilo.
uhuru kenyata alikuwa chaguo la mzee moi akina raila wakaunda umoja na mwai kibaki. kanu ikashindwa na mwai akapata urais, uchaguzi uliofuata raila na mwai wakawa maadui. uhuru akajiunga na mwai. wakashinda urais. ruto akabaki na raila. uchaguzi huu uliopita uhuru na ruto wakaungana dakika za mwisho dhidi ya raila wakashinda uchaguzi wakati walikuwa mahasimu.
siasa za kenya na tanzania muungano wa vyama hautambuliki rasmi lakini kenya n ruksa. soma siasa za kenya ulinganishe na zetu utaona tofauti kidogo.
hata nikiwa diwani wananchi wa sasa hawachagui chama hii ndiyo slogan ya uchaguzi ya 2015.
 
Atleast hapo mnaonesha ukomavu na kujitambua

Waigeni mfano wenzenu kenya waliwaangusha vp KANU
 
Back
Top Bottom