Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

,hivi kumbe dr.slaa ni msomi? Sasa mbona mnakataa kuwaita mashekhe wote kuwa nao ni wasomi au udini ndo umewatawala!

hivi hii kasma ya udini imetoka wapi ? Dr slaa alienda kusoma kwenye vyuo vinavoeleweka, pitia profile yake
 
.......................................................Rose Kamili toka CDM
 
Tukiangalia kwa haraka Dk. Slaa yuko kwenye nafasi nzuri zaidi kuliko Mbowe, Prof Lipumba, na wengine ktk upinzani kwa kuwa sio mgombea mpya kwa Watanzani lkn pia sio mgombea alichuja kwa wananchi [kwa maana kugombea Urais kila unapofika uchaguzi]. Sifa kuu ya ziada ya Dk. Slaa ni kuwa ana mtaji wa kura za kutosha kuliko Wagombea wote wa Urais mwaka 2015.
 
Ritz mnabwabwaja bure lakini jibu mnalo!!Mnasikiatumbo la kuhara, maana no stone will be left unturned, hizo fedha zetu zitarudi tuu kaa ukijua!!
 
Last edited by a moderator:
Mwenye sera bora na record ya kutongangania madaraka na si fisadi ndani ya chama au nje ya chama!mwenye uono mpya!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Habari ya Mujini kila jambo lina mwisho, habari ya MaCCM imefika ukingoni, pole sana !! 2015 Lazima muondoke, wezi wauwaji na mafisadi wakubwa nyinyi Lumumba group!!
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa kashazeeka sana!! Sidhani kama anafaa nafasi hiyo.

Nilimsikia juzi kwenye radio....anaongea kama hana meno mdomoni. Yani kiukweli kazeeka sana.
Nilimuona April...aisee kakongoroka sana.

Waangalie mtu mwingine kwa urais
 
Back
Top Bottom