Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Dr. Slaa na mgombea mwenza Seif Sharif Hamad.. Hapo kazi inakuwa imekwisha..
seif hapana labda lipumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr. Slaa na mgombea mwenza Seif Sharif Hamad.. Hapo kazi inakuwa imekwisha..
,hivi kumbe dr.slaa ni msomi? Sasa mbona mnakataa kuwaita mashekhe wote kuwa nao ni wasomi au udini ndo umewatawala!
Mbona huna adabu? Alimchukua mamako ndo ukazaliwa? Kijana jikite kwenye mada, wote tunazijua sana hizi lugha za kuudhi hata kabla hujazaliwa!
hakiyamungu wasira akiwa raisi nahama nchi bora nikaishi somalia.
Chadema wana mgombea zaidi ya Babu Slaa atakayekuwa na miaka 70 mwakani?
Kumbe Dr Slaa ana matatizo ya mkono wa kushoto?? Duuhh
Mwaka 2015 Dr Slaa anatosha--- Said Mbowe.
Dr Slaa kashazeeka sana!! Sidhani kama anafaa nafasi hiyo.