Sheria haziruhusu lakini vyama vinaweza amua kusema hatuweki mtu kugombea uraisi ila tunamwwunga mkono mgombea wa chama fulani wanacchama wote muungeni mkono.Wakijua akipita maslahi yao yataangaliwa naye.
kwa maana hii, washakaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria haziruhusu lakini vyama vinaweza amua kusema hatuweki mtu kugombea uraisi ila tunamwwunga mkono mgombea wa chama fulani wanacchama wote muungeni mkono.Wakijua akipita maslahi yao yataangaliwa naye.
kwa maana hii, washakaa?
Inner circles za UKAWA zilishakaa na kuamua.Kilichobaki kila kiongozi wa UKAWA aaandae nini cha kuzuga kwa wanachama wake ili waelewe kuwa UKAWA una nia zuri tu kuweeka mgombea mmoja huyo LIPUMBA.Jambo hilo lillleta ubishi mkubwa hasa ilipofikia kujadili kuwa Slaa atawaeleza nini wapenzi wa CHADEMA wakati ndio kipenzi chao na ndio raisi wao mtarajiwa wanayemwota?
Anyway SLAA ilibidi akubali ni kwa shingo upande au vipi sijui.Ni kwa kushinikizwa sijui.Ila habari ndiyo hiyo.
Kuna taarifa za ndani kuwa Lipumba ndiye anatakiwa awe mgombea pekee wa uraisi atakayesimamishwa na UKAWA 2015.Mzee Slaa kaambiwa asigombee ampishe Lipumba na kweli keshakubali kuwa hatagombea sababu ya matatizo anayoita ya kiafya sijui.Kuna kundi ndani ya CHADEMA halitaki Lipumba agombee kama mgombea pekee wa upinzani na linaongozwa na Tundu Lissu ambaye kiukweli yeye na Zanzibar ni vitu viwili tofauti hawapendi.
Hivyo Tundu Lissu kuonyesha kuwa hakubaliani ndio maana na yeye katangaza kuwa atagombea uraisi 2015.CHADEMA wamemwona kama msaliti wa makubaliano ya UKAWA kwa hilo tamko lake.Lakini mwenyewe yuko serious asingependa Hilo la Lipumba lipite.Tundu Lissu yeye anaamini CHADEMA ina uwezo wa kutoa mgombea uraisi anahisi kumpa Lipumba ni kuidhoofisha CHADEMA na wanachadema anahisi waweza piga kura za hasira wakaipigia CCM kama Lipumba atapewa hiyo nafasi.
ww vp kwani membe kakosea nini. ..kwani israel ndio makanisa? mayahudi ni mabeberu tu, wauaji. huwezi kuua raia 2000 kikatililipumba hafai kuwa rais wa nchi hii. na atazeeka tu bila kupata urais wa nchi hii, atausoma kwenye magazeti tu. monduli, pmwakyembe, magufuli sawa. ila wakimweka membe pia, ccm watapoteza kura nyingi sana kwasababu kwa jinsi watu walivyomchukia kibonde wa clous ndivyo walivyomchukia membe. kila utakapopita anaongelewa yeye tu. hasa baada ya kuilaani israel, makanisa yote hayataki hata kumsikia.
amekosea kulaani taifa la Mungu ambalo Mungu alishaaidi kuwa atakaye walaani na Mungu atamlaani, hivyo membe amelaaniwa kwasababu hiyo. amini usiamini hii kitu inafanya kazi. kama ccm hawaamini maneno haya basi wamuweke awe mgombea nao wataona jinsi mkono wa Mungu unavyofanya kazi kwa maadui wa israel. pia, nimeongea hivi kwasababu nimeshapita makanisani nimeona kinachoendelea dhidi yake, hawataki hata kumsikia na hao ndio wapiga kura..ww vp kwani membe kakosea nini. ..kwani israel ndio makanisa? mayahudi ni mabeberu tu, wauaji. huwezi kuua raia 2000 kikatili
Mayahudi ni mabeburu wakubwa. wanatumia wakristo kuwalinda kwa dhuluma wanayofanya. Amani hivi leo haipatikani palestina kwa kua mayahudi wana tamaa ya kupora ardhi yote ya palestine wakati hakuna aliyewahamishia ulaya kwa nguvu hadi walipopigwa kipondo na hitler. Hivi sasa wapalestina wako tayari kugawana ardhi yao na hao mazayuni lakini wanataka kila nchiya ardhi ya palestine wao wenyewe.amekosea kulaani taifa la Mungu ambalo Mungu alishaaidi kuwa atakaye walaani na Mungu atamlaani, hivyo membe amelaaniwa kwasababu hiyo. amini usiamini hii kitu inafanya kazi. kama ccm hawaamini maneno haya basi wamuweke awe mgombea nao wataona jinsi mkono wa Mungu unavyofanya kazi kwa maadui wa israel. pia, nimeongea hivi kwasababu nimeshapita makanisani nimeona kinachoendelea dhidi yake, hawataki hata kumsikia na hao ndio wapiga kura..
Ukawa inatakitakiwa tu kwenye Bunge la Katiba, si vinginevyo. usitutoe kwenye reli.
Ukawa wajitaidi wauboreshe umoja wao hadi kipindi cha uchaguzi. Ni vizuri wakaikabili ccm kwa umoja wao.
Ukawa inatakitakiwa tu kwenye Bunge la Katiba, si vinginevyo. usitutoe kwenye reli.
mkuu unakumbuka ODM ya kenya ilianzaje?umoja upi mkuu, labda wajiite jina lingine, UKAWA ni umoja wa KATIBA na siyo umoja wa UCHAGUZI wa wananchi
mkuu unakumbuka ODM ya kenya ilianzaje?
kwenye mambo ya kweli usilete utani kiongozi, ni kabisa CHADEMA wamejiita jina jipya la UKAWA ili wananchi wasijue matatizo makubwa yanayosababishwa na MBOWE na SLAAmkuu naomba hutuache na afiki yetu UKAWA.ww rafiki yako ni ccm na mafisadi