Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Sheria haziruhusu lakini vyama vinaweza amua kusema hatuweki mtu kugombea uraisi ila tunamwwunga mkono mgombea wa chama fulani wanacchama wote muungeni mkono.Wakijua akipita maslahi yao yataangaliwa naye.

kwa maana hii, washakaa?
 
kwa maana hii, washakaa?

Inner circles za UKAWA zilishakaa na kuamua.Kilichobaki kila kiongozi wa UKAWA aaandae nini cha kuzuga kwa wanachama wake ili waelewe kuwa UKAWA una nia zuri tu kuweeka mgombea mmoja huyo LIPUMBA.Jambo hilo lillleta ubishi mkubwa hasa ilipofikia kujadili kuwa Slaa atawaeleza nini wapenzi wa CHADEMA wakati ndio kipenzi chao na ndio raisi wao mtarajiwa wanayemwota?

Anyway SLAA ilibidi akubali ni kwa shingo upande au vipi sijui.Ni kwa kushinikizwa sijui.Ila habari ndiyo hiyo.
 
unaweza kuthibitisha pasi nashaka walau kuweka hayo makubaliono ?

maneno bila ushahidi wowote hasa wakimaandishi itakuwa porojo, tuthibitishie.
 
Nenda kachukue buku7

Kuna taarifa za ndani kuwa Lipumba ndiye anatakiwa awe mgombea pekee wa uraisi atakayesimamishwa na UKAWA 2015.Mzee Slaa kaambiwa asigombee ampishe Lipumba na kweli keshakubali kuwa hatagombea sababu ya matatizo anayoita ya kiafya sijui.Kuna kundi ndani ya CHADEMA halitaki Lipumba agombee kama mgombea pekee wa upinzani na linaongozwa na Tundu Lissu ambaye kiukweli yeye na Zanzibar ni vitu viwili tofauti hawapendi.

Hivyo Tundu Lissu kuonyesha kuwa hakubaliani ndio maana na yeye katangaza kuwa atagombea uraisi 2015.CHADEMA wamemwona kama msaliti wa makubaliano ya UKAWA kwa hilo tamko lake.Lakini mwenyewe yuko serious asingependa Hilo la Lipumba lipite.Tundu Lissu yeye anaamini CHADEMA ina uwezo wa kutoa mgombea uraisi anahisi kumpa Lipumba ni kuidhoofisha CHADEMA na wanachadema anahisi waweza piga kura za hasira wakaipigia CCM kama Lipumba atapewa hiyo nafasi.
 
lipumba hafai kuwa rais wa nchi hii. na atazeeka tu bila kupata urais wa nchi hii, atausoma kwenye magazeti tu. monduli, pmwakyembe, magufuli sawa. ila wakimweka membe pia, ccm watapoteza kura nyingi sana kwasababu kwa jinsi watu walivyomchukia kibonde wa clous ndivyo walivyomchukia membe. kila utakapopita anaongelewa yeye tu. hasa baada ya kuilaani israel, makanisa yote hayataki hata kumsikia.
ww vp kwani membe kakosea nini. ..kwani israel ndio makanisa? mayahudi ni mabeberu tu, wauaji. huwezi kuua raia 2000 kikatili
 
ww vp kwani membe kakosea nini. ..kwani israel ndio makanisa? mayahudi ni mabeberu tu, wauaji. huwezi kuua raia 2000 kikatili
amekosea kulaani taifa la Mungu ambalo Mungu alishaaidi kuwa atakaye walaani na Mungu atamlaani, hivyo membe amelaaniwa kwasababu hiyo. amini usiamini hii kitu inafanya kazi. kama ccm hawaamini maneno haya basi wamuweke awe mgombea nao wataona jinsi mkono wa Mungu unavyofanya kazi kwa maadui wa israel. pia, nimeongea hivi kwasababu nimeshapita makanisani nimeona kinachoendelea dhidi yake, hawataki hata kumsikia na hao ndio wapiga kura..
 
Mayahudi ni mabeburu wakubwa. wanatumia wakristo kuwalinda kwa dhuluma wanayofanya. Amani hivi leo haipatikani palestina kwa kua mayahudi wana tamaa ya kupora ardhi yote ya palestine wakati hakuna aliyewahamishia ulaya kwa nguvu hadi walipopigwa kipondo na hitler. Hivi sasa wapalestina wako tayari kugawana ardhi yao na hao mazayuni lakini wanataka kila nchiya ardhi ya palestine wao wenyewe.
 
Habari wakuu,
Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA uliundwa na viongozi wa vyama vya CHADEMA, CUF NA NCCR ndani ya Bunge maalum la Katiba ili kukabilina na nguvu ya kambi ya TANZANIA KWANZA inayoongozwa na CCM. Baada ya umoja huo kutozaa matunda ndani ya Bunge uliamua kususia vikao vya bunge na kuamua kufanyia shughuli zake nje ya Bunge, na pengine tunaweza kusema nje umezaa matunda japo siyo rasmi na siyo matunda ya kisheria. Midahalo toka kwa UKAWA wenyewe, wanaharakati, wana taaluma ya sheria, wajumbe wa iliyokuwa tume ya badiliko ya Katiba na makundi mengine mengi yalioombwa au kudhaminiwa na UKAWA ni miongoni mwa hayo matunda yaliooza mitini kabla hayajakomaa.

UKAWA wakiwa nje ya Bunge wametangaza rasmi kuwa mwaka 2015 watakuwa kitu kimoja katika uchaguzi mkuu wa wabunge na Rais, eti wanasema mgombea wa chama mshirika wa UKAWA anayekubalika eneo fulani atasimama kwa niaba ya UKAWA. Lakini tujiulize swali moja tu kwamba, lini mgombea wa CUF atakubalika Moshi mjini aachiwe? au lini mgombea wa CHADEMA atakubalika PEMBA aachiwe? au lini mgombea wa NCCR atakosa umaarufu KIGOMA na nafasi hiyo asimame wa CHADEMA? Jibu ni hakuna, na kwa maana hiyo mambo yatakuwa ni yale yale ya ZAMANI, yaani CHADEMA, CUF na NCCR kila mmoja atashinda aliko maarufu.

Hoja yangu kubwa katika mada hii, NI NANI ANAPASWA KUJIFICHA KWENYE HIKI KIVULI CHA UKAWA KWENYE UCHAGUZI WA 2015?.
Binafsi naona atakaeathirika endapo UKAWA watashindwa kutimiza azma yao ya kuwa kitu kimoja 2015 ni CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
1. Ni ukweli usiopingika kuwa wazo la kuundwa kwa UKAWA ni la CHADEMA na liliwaijia ili kupisha upepo uliokuwa ukivuma ndani ya chama chao, upepo wa vurugu zilizopelekea kuondokewa na watu wao muhimu kama akina SAMSON MWIGAMBA, KITILA MKUMBO, na sasa kuna uwezekano wa ARFI, SHIBUDA, LETICIA na ZITTO KABWE.
2. CUF na NCCR wao wamekuwa wakikua siku hadi siku wakati CHADEMA wanaporomoka na ushahidi ulio wazi ni bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililopita, Wabunge wa NCCR mageuzi kama akina MACHALI, KAFURILA na wengine waling'ara huku wale wa CHADEMA wakipiga majungu tu
3. CHADEMA bado wana OMBWE la kitendawili kilichokighubika chama, kitendawili cha Uchaguzi wa chama ngazi ya Taifa, hakuna anayejua kama kitendawili kitatenguliwa au la? Hii ni sababu nyingine ya CHADEMA kuendelea kung'ang'ania UKAWA wasirudi bungeni kwa vile wanajua wakitimba tu kule upepo wa ndani ya Chama chao utaanza kuvuma tena kwa sababu ya UKAWA na bunge maalum la katiba yatakuwa yamekwisha.

Ukawa inatakitakiwa tu kwenye Bunge la Katiba, si vinginevyo. usitutoe kwenye reli.
 
Ukawa wajitaidi wauboreshe umoja wao hadi kipindi cha uchaguzi. Ni vizuri wakaikabili ccm kwa umoja wao.
 
Ukawa wajitaidi wauboreshe umoja wao hadi kipindi cha uchaguzi. Ni vizuri wakaikabili ccm kwa umoja wao.

umoja upi mkuu, labda wajiite jina lingine, UKAWA ni umoja wa KATIBA na siyo umoja wa UCHAGUZI wa wananchi
 
Ukawa inatakitakiwa tu kwenye Bunge la Katiba, si vinginevyo. usitutoe kwenye reli.

Mbona mada hii imeletwa asubuhi hii, kwa nini unamuliza kama amelala? wewe soma tafakari changia mada ni nzuri sana hii.
 
mkuu naomba hutuache na afiki yetu UKAWA.ww rafiki yako ni ccm na mafisadi
 
mkuu naomba hutuache na afiki yetu UKAWA.ww rafiki yako ni ccm na mafisadi
kwenye mambo ya kweli usilete utani kiongozi, ni kabisa CHADEMA wamejiita jina jipya la UKAWA ili wananchi wasijue matatizo makubwa yanayosababishwa na MBOWE na SLAA
 
Back
Top Bottom