Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

kwa mchezo huu ikulu itabaki ndoto kwa upinzani..wameinvest Sana kuwapa jina wagombea wake was urais saiv hawamleti tena wanajiunga na umoja was vyama...Kama sio strategy mbovu ni nn?
 
Kwani UKAWA ni chama?na sheria zinasemaje pindi wakitaka kuwa pamoja?navyoona ni kama kakikundi flani ambako hakapo kisheria
 
Jamani atupaswi kuwasema vibaya ukawa Bali tu na paswa kuwapa moyo na kikubwa mwakani wawe na Sera moja ya ukawa ya kuingoza nchi
 
Jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.

Hata lugha yako tu inakushinda, eti hakiri, mijitu mingine bana ka michawi yani
 
kura za jk 2005 na 2010 zinalingana alafu jibu ujijibu mwenyewe.

Kwa kuwa haijulikani ccm atasimamishwa nani? Hatuwezi tabiri .ukitokea atakayesimamishwa Ataweza pata kura nyingi zaid za jk 2005 itakuwaje lkn pia itategemea ukawa wamemsimamisha nani
 
Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.

Historia ni muhimu kuiangalia ila sometimes inatudanganya
 
Wakuu,tumemsikia Dr Slaa mwishoni mwa wiki hii akitamka kwamba UKAWA itamsimamisha mgombea mmoja kwenye urais..

Toa pendekezo lako ungependa nani awe mgombea ticket ya Urais na mgombea mwenza wake..
Dr.Slaa hana mvuto tena UKAWA wengi wanataka mgombea urais awe Prof.Lipumba mgombea mwenza ni Mbatia, Dr.Slaa akagombee ubunge Karatu.
 
Sio wapinzani bali wananchi watasimama na mgombea mmoja, atakayeshinda kwa haki
 
Comparative Advantage ikiweza kutumika vizuri watakuja na wabunge wengi sana.japo nauona mtihani kwenye urais.wafanye brainstorming kupata conflict free mechanism ya kumpata rais.hasa hasa CCM kuchomekea
 
Dr.Slaa hana mvuto tena UKAWA wengi wanataka mgombea urais awe Prof.Lipumba mgombea mwenza ni Mbatia, Dr.Slaa akagombee ubunge Karatu.

Ni sawa tu..ata akigombea Lipumba ilimradi majambazi waondoke madarakani,ayo mengine mbele kwa mbele.
 
Kama kweli wamenuia basi Mgombea wa urais awe Dr Slaa na mgombea mwenza awe Seif Shariff Hamadi. Hapo CCM itakuwa kwisha habari yake.. Huo ndio utakuwa mwisho wa huo muungano feki na ,mwanzo wa mamlaka kamili katika kila nchi.

Unaumwa wewe....awe Slaa? sisi tunataka Lipumba
 
Mbona umepanic bro!? Wamewashika kubaya nini?

By the way CUF ina nguvu kusini, NCCR Magharibi, CHADEMA kaskazini na Nyanda za juu kusini plus Kanda ya Ziwa. Pia Nguvu ya ukawa inaweza kuleta tume mpya ya uchaguzi, daftari jipya la wapiga kura haliepukiki. Vijana wote TULIOSHIBA hatutaki MaCCM yenu mmebakiwa na vijana wenye njaa tu kama akina Makonda na Risasi Mwaulanga,,,, UNA HAKI YA KUPANIKI BRO SAVIMBI

Yaan ulivyozitaja hizo kanda,kusini,magharibi,nyanda za juu kusini,kanda ya ziwa,yaan almost umemaliza nchi nzima,sasa inakuwaje wabunge wengi ni wa CCM? au waligombea Kenya halafu ndio wakaletwa huku? halafu makonda anayekula kuku wewe kwa makusudi unasema ana njaa yaan unajidanganya mwenyewe mchana kweupeee! acha akili za ukawa wewe!
 
Good move sisi CCM tunawatakia heri katika kuimarisha upinzani.
 
Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.

Mrema alishinda uraisi, akadhulumiwa, dr silaa alishinda akadhulumia, Maalim Seif alishinda Zanzibar akadhulumiwa.
Kushinda haiitaji wingi wa watu, kikwete mlimpa ushinda kwa kura za watu wangapi?
 
Lipumba na Slaa wote ni wapenda madaraka...kuungana ni ndoto ya mchana. Sio kazi rahisi kuiondoa ccm madarakani,

ccm is there to stay for another 50 years.

Ni vigumu kuitoa CCM madarakani ila kwa kutumia winchi itaondoka tu ni kama vile ambavyo ngamia aliweza kupenya kwenye tundu la sindano kwa shida CCM nayo itaondoka kwa namna hiyohiyo.
 
Back
Top Bottom