fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Tanganyika Kwanza ije ndo tupange safu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr frof
Tanganyika Kwanza ije ndo tupange safu
Jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.
kura za jk 2005 na 2010 zinalingana alafu jibu ujijibu mwenyewe.
Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.
Dr.Slaa hana mvuto tena UKAWA wengi wanataka mgombea urais awe Prof.Lipumba mgombea mwenza ni Mbatia, Dr.Slaa akagombee ubunge Karatu.Wakuu,tumemsikia Dr Slaa mwishoni mwa wiki hii akitamka kwamba UKAWA itamsimamisha mgombea mmoja kwenye urais..
Toa pendekezo lako ungependa nani awe mgombea ticket ya Urais na mgombea mwenza wake..
Dr.Slaa hana mvuto tena UKAWA wengi wanataka mgombea urais awe Prof.Lipumba mgombea mwenza ni Mbatia, Dr.Slaa akagombee ubunge Karatu.
Kama kweli wamenuia basi Mgombea wa urais awe Dr Slaa na mgombea mwenza awe Seif Shariff Hamadi. Hapo CCM itakuwa kwisha habari yake.. Huo ndio utakuwa mwisho wa huo muungano feki na ,mwanzo wa mamlaka kamili katika kila nchi.
Mbona umepanic bro!? Wamewashika kubaya nini?
By the way CUF ina nguvu kusini, NCCR Magharibi, CHADEMA kaskazini na Nyanda za juu kusini plus Kanda ya Ziwa. Pia Nguvu ya ukawa inaweza kuleta tume mpya ya uchaguzi, daftari jipya la wapiga kura haliepukiki. Vijana wote TULIOSHIBA hatutaki MaCCM yenu mmebakiwa na vijana wenye njaa tu kama akina Makonda na Risasi Mwaulanga,,,, UNA HAKI YA KUPANIKI BRO SAVIMBI
Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.
Lipumba na Slaa wote ni wapenda madaraka...kuungana ni ndoto ya mchana. Sio kazi rahisi kuiondoa ccm madarakani,
ccm is there to stay for another 50 years.