Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

kufanikisha hilo lazima rais mgombea atoke cdm vinginevyo haiwezekani watabaki kugombania kiti hicho, lakini pia ccm wao wanampago wa kumsimamisha rais ambaye ni jembe la ukweli katika kufanya kazi na hana kashifa yoyote ya wizi au uongozi mbaya ambaye anauzika kwa watu na wanamkubali, ambaye anauzika kwenye majukwaa ya siasa na nje ya majukwaa ili kukabiliana na upinzani kikamilifu,waliowengi mnazani watamsimamisha lowasa ilo sahau maana mtapata nafasi ya kumsema uchafu wake wa wizi kwenye majukwa na midaharo ya kampeini.natabiri upinzani kuongeza viti vya wabunge na sio urais 2015.

kumbe ccm kuna majembe.
 
Akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la arusha mapema jana katika mkutano wa [ukawa]katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo,chadema,dr wilbod slaa, alisema,tumefikia makubaliano kama [ukawa] 2015 kumsimamisha mgombea 1 katika nafasi ya urais,lengo letu sio kutafuta vyeo bali kuwakomboa wananchi watanzania waliopigika na mfumo wa chama cha mapinduzi,nilifarijika sana niliposikia maneno haya kutoka kinywani mwake,maana ndio mwisho wa chama cha mapinduzi umewadia,kimsingi ni kujipanga bara bara kusuka kikosi kazi kitakacho fanya kazi ya ziada kuhakikisha ccm haifurukuti kabisa,bg up [ukawa] pa1tutashinda,
Urais gani wanataka kugombea cdm? Maana ccm watagombea urais imara wa Tanzania. Kama cdm wanawaza rais wa Tanganyika ccm inaungwa mkono na wengi wanaotaka serikali ya muungano imara. Urais upi kwa cdm kama sio ndoto.
 
Kumbuka Lipumba ndiye aliyemsaidia Kikwete kurudi magogoni,2015 ndiyo basis tena

Lipumba hautaki? Dr. Slaa hautaki?

Mbatia anaweza kukubaliana kwa manufaa ya Taifa ila CUF na CHADEMA sijui!!!
 
Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.

Kweli wewe ni "Rich in ignorance"!
Watu wanazungumzia 2015 wewe unaleta takwimu za 2010!
Kwani ilikoshindwa CCM 2010 haikuwa mshindi 2005?!
Umeangalia trend ya kupauka kwa CCM kila jimbo?!
Hebu rudi kwenye takwimu zako uangalie idadi ya kura za Urais 2005 na 2010 katika majimbo yafuatayo halafu utuambie namna ya kupona mwaka 2015!

Ubungo, Manyoni, Mbinga, Ngara, Siha.
 
Lipumba hautaki? Dr. Slaa hautaki?

Mbatia anaweza kukubaliana kwa manufaa ya Taifa ila CUF na CHADEMA sijui!!!

Hadi sasa unajivuna kwamba "hujui"?
Rudi shule utajua tu
Sisi tutampigia mmoja wa upinzani
Si lazima awe Profesa Lipumba au Dr.Slaa!
Aweza kuwa Magdalene Sakaya, Conchesta Rwamraza au Mariam Msabaha!
 
Wadau,

Hakuna siku ya neema na iliyojaa Ujasiri ktk historia ya Tanganyika kama siku UKAWA walipotoka ktk bunge la Katiba, na kuvuruga kabisa mwanya wa Chama hiki kiovu CCM, kutaka kuvuruga mchakato mzima na kuua dhamira njema ya umma ilivyowasilishwa ktk Rasimu ya II, na HIVYO kusimamia Imara maoni na kiu ya umma wa Tanganyika na Z'BAR.

Hakuna siku nyingine ya neema na iliyojaa Ujasiri, matumaini na mwanga kwa Tanganyika kama siku UKAWA ilipotangaza kumsimamisha Mgombea MMOJA wa Urais, 2015. Hii hakika ni 'Nyota ya Mashariki' kwa ukombozi wa taifa hili tajiri lakini lililolazimishwa kuwa maskini wa kutisha chini ya Chama hiki kilichojaa uovu, CCM.

KWA UFUPI TU;
CCM ilitakiwa iwe imeondoka toka uchaguzi wa 2010. Kwa data tulizokuwa nazo, CCM (kwa kushirikina na taasisi hii ovu inayoitwa NEC, na vyombo vya dola) iliiba karibia ya KURA MILIONI 2.7 za VYAMA ktk ngazi ya urais na kugeuza matokeo mengine ya wabunge takriban 29 toka vyama vyote. Huu muungano wa UKAWA ungekuwepo toka 2009 kuja 2010, CCM ilishazikwa kama KANU ya Kenya au Congress ya India ilivyofanywa juzi hii. Kwa hiyo KURA zote walizomtanzazia JK kuwa 'alipata', ukiondoa 2.7m za wizi, na kuunganisha ktk alizopata Dr Slaa, na Prof Lipumba...! JK angebakia na nini? alikuwa kwishney...angepata kura nini? Hata wangeiba baadhi, wangeibaje wamalize? (Ulikuwa ni ushindi wa ZAIDI ya 65% hadi 68%) dhidi ya CCM.

Ila hakika, Mola wetu anatusikia kilio chetu saana....CCM mwisho wake ....tuaapa, ni 2015! Nadhani ushauri ulio bora kwa JK, ktk kuelekea mwishoni mwa mwaka huu, na kukaribia 2015, ATANGAZE TU 'KIPINDI CHA MPITO' na kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi...MPITO ambao ni wa lazima ktk kuruhusu taifa la Tanganyika kuelekea uchaguzi utakaobadili historia ya sasa na vizazi VYOTE vijavyo. Silaha kuu kwa UKAWA sio vurugu, wala uchochezi kama CCM wanavyofanya sasa bali ni vitu vikuu vinne tu (4) navyo ni; 1. ELIMU YA KURA KWA UMMA, 2. TUME HURU YA UCHAGUZI, 3. UJENGWAJI UPYA WA DAFTARI LA WAPIGA KURA, na 4. Ni KUWAPA 'LIVE' WANANCHI bila chenga kuwa nini CCM ndio MAAFA kwao kwa miaka yote 50 ya laana waliyopitia (UMASKINI, WIZI WA MALI YA UMMA, UJANGILI, BIASHARA YA UNGA, KUFILISIKA KWA KILA TAASISI YA UMMA! RUSHWA, DHULMA NK)...wananchi waweke azimio moja, hakuna makosa tena!
 
Dear Mod,
Kindly don't combine this thread, it contains alot of stuff worth getting more attention! or please rephrase the title into another heading; like 'UMOJA WA UKAWA KUPATA USHINDI WA ZAIDI YA 65% ! au 'MGOMBEA WA UKAWA UCHAGUZI 2015 KUZOA ZAIDI YA 65% !

Heshima sana MKUU.
 
Haina shida, wao wanataka Katiba ya Wananchi, sasa cjui CCM wanataka katika ya wanyama?
 
Ukawa hawatavurugana kabla ya 2015 una uhakika na hilo ulilosema

...all impossibles are very possible...tusifikirie kwa macho ya woga...!

Kinachowaunganisha sio kinachowatengnisha...sera ni tofauti Bali Adui ni MMOJA na dhamira ni MOJA, kuua Adui CCM na kumsimamisha umoja wa wa tanganyika na wazanzibar...HAYO yote ni positiveness...
 
...all impossibles are very possible...tusifikirie kwa macho ya woga...!

Kinachowaunganisha sio kinachowatengnisha...sera ni tofauti bali adui ni mmoja na dhamira ni moja, kuua adui ccm na kumsimamisha umoja wa wa tanganyika na wazanzibar...hayo yote ni positiveness...

ila tambua kwamba sipingani na muungano huu bali ni suala la viongozi hawa wenye itikadi tofauti mfano mdogo cuf ni mfumo uliberali na cdm ni mlengo wa kati mosi watakubaliana nani awe mgombea wao wa uraisi na suala la mgongano wa vyeo.ccm kununua baadhi yao halikwepeki
 
Mbatia ni kijana? Unaposema kijana unamaana mtu mwenye miaka mingapi?
Umenikumbusha kitu. Nilishangaa siku alipokuja Obama Dar mtangazaji wa TBC bila soni akasema marais hawa wawili vijana (Obama na Kikwete) nikabaki mdomo wazi. Obama mwenye miaka zaidi ya 50 na Kikwete mwenye zaidi ya 60 wanakuwa vijana? Ndipo tulipofikishwa. Uwezo wa kufukiri zero.
 
Ukawa wana wafuasi wengi sana, na watachukua viti vingi 2015 kama umoja wao utadumu na wataendelea na hii spidi.

Kuhusu urais, Dr asahau, ndani ya UKAWA kuna wengi wenye uwezo.

Anaweza kuwa Tundu Lisu na mgombea mwenza akawa Jusa kwa sababu ndio wenye sauti kuu kwa sasa ndani ya ukawa. Isingekuwa umri, David Kafulira angefaa sana.
Nakubaliana na wewe, kwanza Dr Hataki.
 
Akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la arusha mapema jana katika mkutano wa [ukawa]katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo,chadema,dr wilbod slaa, alisema,tumefikia makubaliano kama [ukawa] 2015 kumsimamisha mgombea 1 katika nafasi ya urais,lengo letu sio kutafuta vyeo bali kuwakomboa wananchi watanzania waliopigika na mfumo wa chama cha mapinduzi,nilifarijika sana niliposikia maneno haya kutoka kinywani mwake,maana ndio mwisho wa chama cha mapinduzi umewadia,kimsingi ni kujipanga bara bara kusuka kikosi kazi kitakacho fanya kazi ya ziada kuhakikisha ccm haifurukuti kabisa,bg up [ukawa] pa1tutashinda,

UCHUNGUZI ZAIDI UNAONYESHA KWAMBA MALI ZA UMMA ZITAPORWA ZAIDI na WALIOPO MADARAKANI KATIKA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA UJAO ILI KUIKOMOA SERIKALI IJAYO YA UKAWA .
 
Back
Top Bottom