Elections 2015 UKAWA na Lowassa unganeni mchukue nchi, wakati ndio huu, mkipuuzia huu ushauri basi tena!

Lowassa hanakashfa, richmond kila mtu anajua ya nani,mitambo ya richmond ikiletwa uwanja wa ndege ulifungwa masaa 24 na uwanja hauwezi fungwa bila izini ya raisi.Pinda amekutwa na kashfa nyingi zaidi ya yeye.
 
Baada ya CCM kumsimamisha jembe Magufuli, Lowassa ahamie UKAWA kwenda kufanya nini?!. Kama CCM ingemsimamisha Membe, hata mimi ningeuka mkono hoja!. Lowassa hili analijua wazi na ahami ng'oo!.

Pasco

wewe kwa kuwa ni ccm lazima useme hivyo kwa sababu unajua Lowasa ndio anaibeba ccm kwa yeye kuwa mwanachama wa ccm hata kama mnajifanya hafai kuwa rais lakini siku Lowasa atakapotangaza kuamia UKAWA ndio itakuwa mwisho wenu pamoja na Makufuli wenu kama unabisha mwambieni aame kama mtapona, CHADEMA lazima wamtake kwa sababu akiamia kwao ccm itakufa
 
Mkuu vuta subira, ila amini usiamini kurasa mpya ya siasa unafunguliwa soon. Sio muda mrefu sana, ndani ya siku 4~6 mambo yatakuwa wazi...
 
Nakubaliana na wewe gogo la shamba. Kikwete maamuzi yake ya kibabe yataicost ccm!
 
Baada ya CCM kumsimamisha jembe Magufuli, Lowassa ahamie UKAWA kwenda kufanya nini?!. Kama CCM ingemsimamisha Membe, hata mimi ningeuka mkono hoja!. Lowassa hili analijua wazi na ahami ng'oo!.

Pasco

Mkuu Pasco heshima yako;

Tafadhali naomba ufafanuzi kidogo wa hoja yako sababu sijaielewa vizuri. Maana yako ni kwamba Magufuli anapendwa sana kuliko EL na kwa hiyo hata akihama hatakuwa na impact au unataka kusema kuwa EL anampenda Magufuli na ameridhika na mchakato ndio maana hana sababu ya kwenda UKAWA. Fafanua tafadhali.
 
Habari wakuu

Sipendelei sana kuandika habari za SIHASA na SIASA hapa jamvini.

Leo nimepata msukumo kuleta mada hii kwa lengo la kukumbushana namna ambavyo siasa inapaswa kurndeshwa.
Kuna mifano mingi Duniani ya wanasiasa waliokuwa wakinzani na sera za upinzani lakini mwisho wa siku walijikuta wakiishia kufanya kazi ya SIHASA na SIASA pamoja.

kwa maono yangu ikiwa UKAWA watamshawishi EL kujiunga kwenye moja ya vyama vinavyounda UKAWA inaweza kuwa ni karata TURUFU na hatua kubwa ya kuimarika kwa siasa za nchi yetu na ikatoa muelekeo wa hatma ya SIASA za nchi yetu.
ikumbukwe kuwa katika SIASA na SIHASA hakuna UADUI WA KUDUMU.

Huu ni mtazamo wangu tu. Inawezekana mjadala kama huu ulishawekwa hapa, la hasha!

kwa ali ilivyo ya kisiasa nchini na mvuto aliokuwanao Lowasa siku atakapotangaza kujiunga na UKAWA nchi itazizima kwa sherehe na vifijo kana kwamba ndio kwanza tunapata Uhuru na siku hiyo ndio itakuwa mwisho wa Makufuli na ccm, hata ccm watumie nguvu ya namna gani hawana uwezo wa kushindana na nguvu ya Lowasa, wenye kuelewa wanaliona hili, na Lowasa ili apate raha ndani ya moyo Tunamshauri ajiunge na UKAWA na ikiwezekana UKAWA wampe nafasi ya kugombea urais wataona mziki wake, maana kwa watanzania kwa sasa lengo ni kuwatoa ccm madarakani mambo mengine yatafuata baadae, mtoe nyoka ndani ya nyumba kwanza alafu atapanga vitu baadae,kuiacha ccm iendelee kuwa madarakani mwaka huu tutakuwa tumeiuza nchi.

Na akirudi kugombea kwa ccm je, mtautoa UKAWA kwenye duru za siasa? acha ulaghai mwepesi wewe!
 
Duuuuuuuuuuu Lowassa leo lulu kwenu?. Ile kauli yangu ya Baraza la vichaa Chadema imetimia. Hamna kitu hapo ni viroba,gongo na bangi.
 
Rudishen hzo kadi za mafisadi maana hawa ccm wata chomwa moto.
 
Wewe vipi??? Lipumba atagombeaje umakamu wakati anatoka bara kama ilivyo kwa fisadi Lowasa. Ushauri mzuri kwa Lowasa ni kuacha siasa akachunge ngombe wake. Kumpokea Lowasa UKAWA ni sawa na kula matapishi yako maana siku zote wapinzani wanamjua Lowasa ni Fisadi nguli
 
Habari wakuu

Sipendelei sana kuandika habari za SIHASA na SIASA hapa jamvini.

Leo nimepata msukumo kuleta mada hii kwa lengo la kukumbushana namna ambavyo siasa inapaswa kurndeshwa.
Kuna mifano mingi Duniani ya wanasiasa waliokuwa wakinzani na sera za upinzani lakini mwisho wa siku walijikuta wakiishia kufanya kazi ya SIHASA na SIASA pamoja.

kwa maono yangu ikiwa UKAWA watamshawishi EL kujiunga kwenye moja ya vyama vinavyounda UKAWA inaweza kuwa ni karata TURUFU na hatua kubwa ya kuimarika kwa siasa za nchi yetu na ikatoa muelekeo wa hatma ya SIASA za nchi yetu.
ikumbukwe kuwa katika SIASA na SIHASA hakuna UADUI WA KUDUMU.

Huu ni mtazamo wangu tu. Inawezekana mjadala kama huu ulishawekwa hapa, la hasha!

Hakuna anaye mkataa lowasa kuhamia UKAWA, ILA ujue kuwa kuhamia kwake hakutamfanya kuwa mgombea urais, ubunge na hata udiwani mpaka ataapotimiza mwaka kama mwanachama wa chama chochote kilichomo ndani ya UKAWA
 
Ukawa Lowasa hana nafasi yeye aende tu ACT watampokea.
 
Mkuu vuta subira, ila amini usiamini kurasa mpya ya siasa unafunguliwa soon. Sio muda mrefu sana, ndani ya siku 4~6 mambo yatakuwa wazi...

I am waiting for that new page of politics in Tanzania.
 
Habari wakuu

Sipendelei sana kuandika habari za SIHASA na SIASA hapa jamvini.

Leo nimepata msukumo kuleta mada hii kwa lengo la kukumbushana namna ambavyo siasa inapaswa kurndeshwa.
Kuna mifano mingi Duniani ya wanasiasa waliokuwa wakinzani na sera za upinzani lakini mwisho wa siku walijikuta wakiishia kufanya kazi ya SIHASA na SIASA pamoja.

kwa maono yangu ikiwa UKAWA watamshawishi EL kujiunga kwenye moja ya vyama vinavyounda UKAWA inaweza kuwa ni karata TURUFU na hatua kubwa ya kuimarika kwa siasa za nchi yetu na ikatoa muelekeo wa hatma ya SIASA za nchi yetu.
ikumbukwe kuwa katika SIASA na SIHASA hakuna UADUI WA KUDUMU.

Huu ni mtazamo wangu tu. Inawezekana mjadala kama huu ulishawekwa hapa, la hasha!

Good idea.
 
Naunga mkono hoja,hata waliokuwa majambazi wa kutisha waliweza na wanaweza kutubu na kuwa maaskofu na wakaongoza kondoo wao vyema...Lowasa ni fursa kubwa sana kwa ukawa,maana huyu mzee anakubalika sana kwa wenye nchi hata sijui kawapa nini aiseee!!
 
Back
Top Bottom