hautakuwa wa kwanza wala wa mwisho, RUDISHA TUnarudisha kadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hautakuwa wa kwanza wala wa mwisho, RUDISHA TUnarudisha kadi
Baada ya CCM kumsimamisha jembe Magufuli, Lowassa ahamie UKAWA kwenda kufanya nini?!. Kama CCM ingemsimamisha Membe, hata mimi ningeuka mkono hoja!. Lowassa hili analijua wazi na ahami ng'oo!.
Pasco
narudisha kadi

wewe kwa kuwa ni ccm lazima useme hivyo kwa sababu unajua Lowasa ndio anaibeba ccm kwa yeye kuwa mwanachama wa ccm hata kama mnajifanya hafai kuwa rais lakini siku Lowasa atakapotangaza kuamia UKAWA ndio itakuwa mwisho wenu pamoja na Makufuli wenu kama unabisha mwambieni aame kama mtapona, CHADEMA lazima wamtake kwa sababu akiamia kwao ccm itakufa
Baada ya CCM kumsimamisha jembe Magufuli, Lowassa ahamie UKAWA kwenda kufanya nini?!. Kama CCM ingemsimamisha Membe, hata mimi ningeuka mkono hoja!. Lowassa hili analijua wazi na ahami ng'oo!.
Pasco
kwa ali ilivyo ya kisiasa nchini na mvuto aliokuwanao Lowasa siku atakapotangaza kujiunga na UKAWA nchi itazizima kwa sherehe na vifijo kana kwamba ndio kwanza tunapata Uhuru na siku hiyo ndio itakuwa mwisho wa Makufuli na ccm, hata ccm watumie nguvu ya namna gani hawana uwezo wa kushindana na nguvu ya Lowasa, wenye kuelewa wanaliona hili, na Lowasa ili apate raha ndani ya moyo Tunamshauri ajiunge na UKAWA na ikiwezekana UKAWA wampe nafasi ya kugombea urais wataona mziki wake, maana kwa watanzania kwa sasa lengo ni kuwatoa ccm madarakani mambo mengine yatafuata baadae, mtoe nyoka ndani ya nyumba kwanza alafu atapanga vitu baadae,kuiacha ccm iendelee kuwa madarakani mwaka huu tutakuwa tumeiuza nchi.
Habari wakuu
Sipendelei sana kuandika habari za SIHASA na SIASA hapa jamvini.
Leo nimepata msukumo kuleta mada hii kwa lengo la kukumbushana namna ambavyo siasa inapaswa kurndeshwa.
Kuna mifano mingi Duniani ya wanasiasa waliokuwa wakinzani na sera za upinzani lakini mwisho wa siku walijikuta wakiishia kufanya kazi ya SIHASA na SIASA pamoja.
kwa maono yangu ikiwa UKAWA watamshawishi EL kujiunga kwenye moja ya vyama vinavyounda UKAWA inaweza kuwa ni karata TURUFU na hatua kubwa ya kuimarika kwa siasa za nchi yetu na ikatoa muelekeo wa hatma ya SIASA za nchi yetu.
ikumbukwe kuwa katika SIASA na SIHASA hakuna UADUI WA KUDUMU.
Huu ni mtazamo wangu tu. Inawezekana mjadala kama huu ulishawekwa hapa, la hasha!
Mkuu vuta subira, ila amini usiamini kurasa mpya ya siasa unafunguliwa soon. Sio muda mrefu sana, ndani ya siku 4~6 mambo yatakuwa wazi...