Siku mbuzi na chui walipoamua kuishi zizi moja,wanama wengi walisha na kujiuliza imewezakana vipi ?.
Chui na beberu mkubwa wakatangaza kuwa UPEPO WA KIMAISHA NDANI YA MBUGA UNABADILI MUDA WOWOTE HIVYO SI AJABU WAO KUISHI PAMOJA,wanyama wengine wakajiuliza ni VIPH CHUI ATAVUMILIA NJAA WAKATI HUU NI MSIMU WA KIANGAZI ?.
Wanyama wengine walinyamaza kimya ili kushuhudia nini kinachofuata.
Babu tembo nae alilaumiwa saaana na wajukuu zake wapendwa yani wapendanao CHUI na MBUZI.
Eti babu tembo hula majani yote peke yake.
Kumbe siku moja mbuzi mmoja alitoroka zizini na hapo kwa hasira chui na mbuzi walitamani kumla mbuzi mwenzao kwa hasira.
Mbuzi mtorokaji alikwenda kutoa siri kwa kundoo na paka kuwa kumbe chui na mbuzi wanafaidi matunda ya babu tembo,wanyama wengi wakakodoa macho wasijue ni kipo kati ya tembo na wajukuu zake wapendwa chui na mbuzi.
Ghafla tena,likaibuka jingine eti mbuzi huiba majani yote pori na kuyapeleka zizini, nae chui huiba nyama zote porini za kuzihifadhi zizini na ula kiulaini huku digidigi na mbwa mwitu hawajui kinachoendelea.
Lakini wanyama wengi wanawaza,MSIMU WA NJAA KALI UNAFIKA YANI UPO KARIBU SAAAANA,SASA VIPI YATAKUWA MAISHA YA CHUI NA MBUZI ?
((tafakari,))