UKAWA wapokea mabilioni ya pesa kutoka Ujerumani kuvuruga mchakato wa Katiba

UKAWA wapokea mabilioni ya pesa kutoka Ujerumani kuvuruga mchakato wa Katiba

Siyo kila mtu anaweza kuonana na othumani wewe kama unaweza tumeshakupa kamwambie ila sisi kazi yetu ni kuwajuza watanzania ujinga wa ukawa wanavyohongwa kuharibu nchi.

Da haya bwana ila unaweza kuwakilisha ushahidi wako kama mlivyowakilisha wa akina Lwakatare polisi.
 
Nyie mazuzu,mbona Arfi alivyo sema anataka kwenda mahakamani kuzuia bunge lenu,mbona hamkuandika? Kwa hiyo nchi yenu haina ulinzi? Kama ndo hivyo subilini watuletee na mizinga,mabomu na vifaru,yaani maccm bwana! TBCCM,HABALILEO,JAMBOLEO,JAMHURI,TAZAMA,yote ni kama moshi na chongo.
 
Hii inteligensia mngekuwa nayo Tanzania, Tungekuwa na Raha sana, Twiga wasingeondoka wazima wazima
 
KATUNI+FEBRUARI+27-PG6.jpg
 
Jambo Leo gazeti la Udaku la Rizmoko , wao kila kukicha ni Majungu tu Juu ya Chadema
 
Huu wimbo ni wa Nape toka 2012 cdm ilipoanza kuwabana koo. Kila mwenye.akili ya kiukombozi ataelekeza mchago wa cdm, maana magamba yanatia hasira si kawaida
 
Jamaa wajinga sana kwani wao wanadhani siyo watanzania au kwa sababu wamejenga nyumba dubai na kwingineko mambo yakichafuka watakimbilia dubai hawanaakili kabisa.

Ujerumani hawana huo muda mchafu wakujibizana na Wenda wazimu kama akina thatha.

Jambo Leo sio gazeti la serekali nawala sio wasemaji waserekali.

Kazi kutapatapa tu.
 
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza

- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.

- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.

Source: Jambo Leo

Mbona sheria inaruhusu, hivi kweli ili ni jambo la kutupotezea muda? someni sheria mtapata jibu.
 
Ujerumani hawana huo muda mchafu wakujibizana na Wenda wazimu kama akina thatha.

Jambo Leo sio gazeti la serekali nawala sio wasemaji waserekali.

Kazi kutapatapa tu.

Mkurugenzi wa hilo gazeti alipewa tenda ya mabango kuzuia uaji wa Tembo.
 
Jamani huku kaskazini LOWASA anajulikana kwa jina la DON KING- si mnamkumbuka yule promoter wa boxing wa USA?
 
Tusubiri tuone , kama ni uongo Ujerumani si wataitaka Tanzania iombe msamaha, ikikaa kimya manake ni kweli
Habari hiyo ni uchochezi kwa sababu hata kama wahusika wamepokea hela haiwezekan maelekezo yakawa ni kuvuruga mchakato. Hiyo tafsiri potofu labda kama upo ushahidi wa maelekezo ya matumizi ya fedha kama hizo. maana yake ni kuwa hata msaada ukitolewa mahala pengine basi mtu aweza kutafsiri vyovyote. chukulia mfando misaada ya kidini basi dini nyingine iseme hawa wamepokea hela ili kudhoofisha dini yetu? Je, huo ni uungwana?
 
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza

- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.

- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.

Source: Jambo Leo
Propaganda za kijinga! Kama wanaushahidi wataje taasisi husika, kiasi cha pesa na namba za akaunti ikiwa ni pamoja na benki ziliko huku wakionesha kiasi cha pesa zilivyoingia na kutoka. Nchi inategemea misaada kutoka huko hivyo madai kama haya ambayo hayana ushahidi ni kutaka kuleta migongano isiyokuwa na tija kwa nchi. Mabalozi wa Ujerumani na Uholanzi wapo hapa kwanini serikali isipeleke malalamiko yake kupitia kwao kama kweli inaushahidi? Nyakati za kufikiri wananchi ni wajinga wa kulishwa kila ujinga zimepita muda mrefu sana!
 
Siku mbuzi na chui walipoamua kuishi zizi moja,wanama wengi walisha na kujiuliza imewezakana vipi ?.
Chui na beberu mkubwa wakatangaza kuwa UPEPO WA KIMAISHA NDANI YA MBUGA UNABADILI MUDA WOWOTE HIVYO SI AJABU WAO KUISHI PAMOJA,wanyama wengine wakajiuliza ni VIPH CHUI ATAVUMILIA NJAA WAKATI HUU NI MSIMU WA KIANGAZI ?.
Wanyama wengine walinyamaza kimya ili kushuhudia nini kinachofuata.
Babu tembo nae alilaumiwa saaana na wajukuu zake wapendwa yani wapendanao CHUI na MBUZI.
Eti babu tembo hula majani yote peke yake.
Kumbe siku moja mbuzi mmoja alitoroka zizini na hapo kwa hasira chui na mbuzi walitamani kumla mbuzi mwenzao kwa hasira.
Mbuzi mtorokaji alikwenda kutoa siri kwa kundoo na paka kuwa kumbe chui na mbuzi wanafaidi matunda ya babu tembo,wanyama wengi wakakodoa macho wasijue ni kipo kati ya tembo na wajukuu zake wapendwa chui na mbuzi.
Ghafla tena,likaibuka jingine eti mbuzi huiba majani yote pori na kuyapeleka zizini, nae chui huiba nyama zote porini za kuzihifadhi zizini na ula kiulaini huku digidigi na mbwa mwitu hawajui kinachoendelea.
Lakini wanyama wengi wanawaza,MSIMU WA NJAA KALI UNAFIKA YANI UPO KARIBU SAAAANA,SASA VIPI YATAKUWA MAISHA YA CHUI NA MBUZI ?
((tafakari,))
 
Weston Songoro si bora wafadhili maana hela zao hazituumi kuliko hawa wanaokula fuko la taifa kujadili ----- kule Dodoma amabo kwalo wanajua haufiki kokote. Jamani CCM hionee huruma nchi hii, zionee huruma pesa za Watanganyika
Bila shaka wafadhili hao watakuwa ni Conrad Adeneur. Wafadhili wakuu wa CDM
 
Haya mambo ya uchochezi yapigwe vita. UKAWA nao wanaweza kusema Tanzania kwanza wanatumia nafasi yao kama chama tawala kuidhinisha mabilioni ya hela kuwalipa wajumbe ili kupitisha katiba ambayo haaina maridhiano. Sisi tunalipenda taifa letu na amani yetu, Jambo leo wathibitise hayo madai!
 
Back
Top Bottom